Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge

Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge

Ushauri huu sidhani Kama unasaidia lolote, kikubwa HAKUNA kosa alilotenda Pascal,
Msikuze mambo na kumpa hofu zisizo na misingi wala hoja, what he wrote was just a merely supposition and not an objective case!!

Kwani hizo password zina msaada gani wa msingi?

Pascal mjomba usiteteleke! Wazii!??
 
Aisee... Siamini kama watanzania tumefikia hatua za kuishi kwa mashaka namna hii! Poa kwa ushauri na nadhani ataufanyia kazi!
 
Paschal mayala wanataka mtisha tu maana mwandishi pekee anayetumia taluuma yake bila woga alikuwa mayalaa mala kibao amekuwa akimuliza maswali mh rais pia hapa JF tumekuwa tukimuona akija na mijadala mingi tu.kuhusu mustakabali wa taifa letu katika mambo mbali mbali kwakua amejipambanua anatumia jina lake halisi imekuwa tatizo

Uyu ndungai tatizo sana watanzani tuombe auogue tena afe na kufa kawa kihele hele sana
 
sisi wanahabari tunaojielewa na kuhoji tunatafutwa sana
Haha yaani kama na wewe ni mwanahabari unayejielewa basi fani ya uandishi wa habari imevamiwa
Wewe jamaa habari zako zote unaandika kisabiki alafu unaokoteza okoteza tu mitandaoni alafu unajiita unayejielewa. Acha utani jombaa
 
Spika Job Ndugai ametoa maagizo kwa Kamati ya Maadili ya Bunge, kumhoji Mwanahabari Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema kwa kuandika makala ikiwa na kichwa "Bunge linajipendekeza?"

View attachment 742128

Makala hiyo inayodaiwa kulidhalilisha Bunge ilitoka kwenye toleo la Jumatatu tarehe 9 Aprili 2018.

Taarifa zaidi zinafuata...

Nini kosa la maudhui ya kichwa hiki cha habari?
Kuuliza kwa Mwandishi Pascal Mayala ili apate majibu kama Bunge linajipendekeza au la ni kosa?
Alichotakiwa huyu Matonya Ndugai ni kuwaambia Watanzania kuwa Bunge la 11 chini ya uongozi wake mahiri linafanya kazi kwa Weledi kwa kufuata Katiba na Sheria na halijawah kuminya Uhuru wa Bunge wala kuingiliwa na Muhimili mwingine wowote kama Mahakama, Rais na TISS...Full stop.

Kwa staili hii na mtindo huu wa Spika Ndugai inaonekana Bunge lishamshinda na niseme tu kwamba huyu Spika anatakiwa arudi tena India kwa ajili ya Matibabu zaidi. Inaonekana bado afya yake ya akili haiko sawa.....!!
 
sio uongo ni kweli ilnajipendekeza na halina meno zaidi ya kusubiri maelekezo toka juu,nimpe pole tu mayalla ila uvumilivu una mwisho,
 
Paschal mayala wanataka mtisha tu maana mwandishi pekee anayetumia taluuma yake bila woga alikuwa mayalaa mala kibao amekuwa akimuliza maswali mh rais pia hapa JF tumekuwa tukimuona akija na mijadala mingi tu.kuhusu mustakabali wa taifa letu katika mambo mbali mbali kwakua amejipambanua anatumia jina lake halisi imekuwa tatizo

Uyu ndungai tatizo sana watanzani tuombe auogue tena afe na kufa kawa kihele hele sana
Ushindwe na ulegee milele yote!
 
Back
Top Bottom