Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mtu principled hawi na upande,daima anasimamia ukweli bila kujali huo ukweli umetokea upande gani.Pascal Mayala huwa aeleweki yuko upande gani .,sasa atatetewa na upande gani..unafiki ni kama upepo unavuma kusikoeleweka.
where to switch and abide.. you too have funny.
Mwandishi wa habari hata kuandika tu hujui? Aisee nchi hii vilaza ni wengi sanahawamu ya vituko hii
PASCO, umegusa mboni ya jicho!Spika Job Ndugai ametoa maagizo kwa Kamati ya Maadili ya Bunge, kumhoji Mwanahabari Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema kwa kuandika makala ikiwa na kichwa "Bunge linajipendekeza?"
View attachment 742128
Makala hiyo inayodaiwa kulidhalilisha Bunge ilitoka kwenye toleo la Jumatatu tarehe 9 Aprili 2018.
Taarifa zaidi zinafuata...
Kabla ya kuwaita hawa ni vema Ndugai akaweka wazi hatua walizowachukulia Makonda na Mnyeti baada ya kuwahoji kwa kulidhalilisha bungeSpika Job Ndugai ametoa maagizo kwa Kamati ya Maadili ya Bunge, kumhoji Mwanahabari Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema kwa kuandika makala ikiwa na kichwa "Bunge linajipendekeza?"
View attachment 742128
Makala hiyo inayodaiwa kulidhalilisha Bunge ilitoka kwenye toleo la Jumatatu tarehe 9 Aprili 2018.
Taarifa zaidi zinafuata...
nyie mna waandishi gani wazuri hata English tu inawashinda,roho mbaya na uuaji ndo vimejaza nafsi zenu.ONA AIBU WASI.....wewe nae ni mwanahabari UNAEJIELEWA KWELI????
kila mtu anafahamu kabsa wewe ni kamradi maalumu ka hapo UFIPA.....zero brain kabsa MUANDIKA UMBEA, unaekopi mada fb na kutuletea hapa...wakati unanijibu hii comment uje utuonyeshe ANDIKO LOLOTE ULILO WAHI KUANDIKA HAPA JF la kutoka kichwani kwako mwenyewe kama afanyavyo PASCHAL
Hahaha ....Zitto aliwatoa nishai wakabaki kutoa macho! Badala ya kuhoji wakajikuta wanahojiwa ....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama vipi Pascal Mayalla na yeye atayarishe majibu kama yale ya Zitto Kabwe aliyoyatoaga kwenye ile kamati nadhani ilikua ya maadili mpaka jamaa wakaamua kuahirisha kumuita maana majibu yale yalikua hawayawezi kutoa majibu
mtazamo mzuri 2020 ipo karibu. karamu itaongea