Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge

Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge

Pascal Mayala huwa aeleweki yuko upande gani .,sasa atatetewa na upande gani..unafiki ni kama upepo unavuma kusikoeleweka.

where to switch and abide.. you too have funny.
Mtu principled hawi na upande,daima anasimamia ukweli bila kujali huo ukweli umetokea upande gani.
 
wanasheria tunaomba elimu siye kina maamuma..... hivi kweli bunge lina uwezo kisheria kumhoji raia wa kawaida moja kwa moja?
mimi nilidhani bunge lilitakiwa kutoa malalamiko yake (au kushitaki) kwa vyombo husika vya dola kushughulikia hili kisheria?

kama kweli bunge lina uwezo wa kuhoji raia wa kawaida kienyeji namna hii basi sheria yetu ipo lopsided vibaya mno!!
 
Jibu jepesi, kichwa cha habari kinauliza.
Majibu YAO inatakiwa wayatoe either kukanusha kilichoandikwa au kuthibitisha.
 
Bunge gani hali limegeuka sehemu ya malumbano, wabunge wanalala na wakiamuka kila wanapiga tu meza
.....
 
Spika Job Ndugai ametoa maagizo kwa Kamati ya Maadili ya Bunge, kumhoji Mwanahabari Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema kwa kuandika makala ikiwa na kichwa "Bunge linajipendekeza?"




View attachment 742128

Makala hiyo inayodaiwa kulidhalilisha Bunge ilitoka kwenye toleo la Jumatatu tarehe 9 Aprili 2018.


Taarifa zaidi zinafuata...

Kabla ya kuwaita hawa ni vema Ndugai akaweka wazi hatua walizowachukulia Makonda na Mnyeti baada ya kuwahoji kwa kulidhalilisha bunge
 
ONA AIBU WASI.....wewe nae ni mwanahabari UNAEJIELEWA KWELI????
kila mtu anafahamu kabsa wewe ni kamradi maalumu ka hapo UFIPA.....zero brain kabsa MUANDIKA UMBEA, unaekopi mada fb na kutuletea hapa...wakati unanijibu hii comment uje utuonyeshe ANDIKO LOLOTE ULILO WAHI KUANDIKA HAPA JF la kutoka kichwani kwako mwenyewe kama afanyavyo PASCHAL
nyie mna waandishi gani wazuri hata English tu inawashinda,roho mbaya na uuaji ndo vimejaza nafsi zenu.
 
Inanikumbusha Bunge enzi ya mwenyekiti wa hiyo kamati alikuwa Mbunge mmoja anaitwa Eliakimu Simpasa...watu waliitwa Bungeni kutoa maelezo nadhani wanajaza bus katika kipindi cha miaka 5
 
Kama vipi Pascal Mayalla na yeye atayarishe majibu kama yale ya Zitto Kabwe aliyoyatoaga kwenye ile kamati nadhani ilikua ya maadili mpaka jamaa wakaamua kuahirisha kumuita maana majibu yale yalikua hawayawezi kutoa majibu
Hahaha ....Zitto aliwatoa nishai wakabaki kutoa macho! Badala ya kuhoji wakajikuta wanahojiwa ....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom