Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shing ngapi wanapewa vile!!!!!!!!!!!!Ukweli mnaujua wenyewe, mnapewa hela kuchafua serikali
Bora yeye mwana habari wewe ni kitu gani bhuana ?!Mwanahabari utakuwa wewe bhana??
Kuwa na aibu bas brosisi wanahabari tunaojielewa na kuhoji tunatafutwa sana
Mwandishi wa habari hatakiwi kuwa na upande wowote bali asimamie ukweli.Pascal Mayala huwa aeleweki yuko upande gani .,sasa atatetewa na upande gani..unafiki ni kama upepo unavuma kusikoeleweka.
where to switch and abide.. you too have funny.
Hiyo movie iliishaje? Aliitwa kutekeleza vizur ilani ya ccm kuna mbunge wa kumhoj makonda?Alipohojiwa bashite watu walifurahi sana. Paskali mayalla yeye nani?
Huko Bungeni sio issue sana ila ujue huu ndio mwanzo wa kuanza kumfuatilia.Mayalla kwetu ni NJAA,
inatosha kuwa kinga kwake. anajua na anafahamu kinachoendelea. hakuna kitu hapo, chenga la ubongo hilo.