Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge

Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge

Kwani mtu akielezea ubora au kutokuwa bora kwa bombadia ina maana atakuwa tayari ametenda kosa la jinai !?
 
PM
JITAHIDII UAACHE NA NAKALA YA URITHI KWAMTU WAKARIBUKABISA...VIPIYULE WA MWANZA NYAMAGANA KESI IMEENDAJE..MOLA AKUPITISHE KWA HILI PM
 
..Spika naye amejiandaa.

..unajua kamati inayokwenda kumhoji Pascal Mayalla ina wabunge wangapi wa ccm? Na wangapi toka upinzani?

..kwa sasa hivi ccm hawana uoga, wala aibu, ya kuchukua maamuzi yanayokandamiza wakosoaji wao.

..ccm ni kama miungu watu. Wako juu ya sheria.
 
Mbona AMESHATOA hukumu? Eti Kamati ya Maadili ikae HARAKA...Tupate mrejesho! Mrejesho gani wakati amesema kwa Dharau....Wewe Pasko Mayala wewe?, (kisha).. Ukishasoma Ka degree kako..(Hapa naye si Lugha ya MAUDHI? Halafu anamalizia: Hili halikubaliki kabisa! (Sasa kama AMESHATOA HUKUMU, Kwanini Kamati ya Maadili iKAE?)..
 
Huyo faru angetumia ubabe wake kusimamia serikkali lakini hovyo, anawatishia wanaojaribu kumpa ushauri WA bure kuboresha nyumba. PM Hongera wewe ni mzalendo WA kweli.
 
Hivi hii kamati ya maadili ya Bunge kazi yake ni kudhibiti maadili ya wabunge au umma?....manake ni kama hii kamati ndiyo polisi na mahakama
Hata mi nmeshindwa kuilewa hii kamati, mipaka yake ni ipi au haina mipaka?

Maana naona ina uwezo wa kugusa kila mtu
 
Pascal Mayalla wiki hii tuli shuhudia Boss na Mmiliki wa Facebook Zuckerberg akiwa grilled na US Congress .
Ilikua ni Public Enquiry.
Live karibu television zote kubwa za US na Europe. Hivi ndio inatakiwa iwe especially kuhojiwa kwa mtu ambaye sio Mbunge.
Hivyo I know wanaweza kukataa tuweke precedence umwandikie Speaker kuwa Mahujiano haya yawe Punlic Hearing ndio democrasia na utawala bora. Ukitoa mfano wa FB na mengine ambayo yamewaji kufanywa na mataifa yanayo fata utawala bora.
jaribu Jenga hoja yako kwanini unafikiri ni sahihi mahojiano haya kufanywa public . ..najua ni mwandishi mzuri unaweza kujenga hoja.
Ndugai akikataa atakataa tu kwa udhaifu wake.
Ahsanta
 
Back
Top Bottom