Spika amvaa Mwigulu bungeni kushindwa kujibu swali la Mpina

Spika wa Bunge Dkt. Tulia Akson ameitaka wizara ya Fedha na Mipango kujibu upya swali namba 129 lililoulizwa na Mbunge Kisesa Luhaga Mpina, ambaye aliitaka serikali kutoa maelezo ya kwanini kesi 1,097 za kodi zenye thamani ya shilingi trilioni 360 na dola za Marekani milioni 181.4 hazijaamuliwa hadi sasa.

Hatua hiyo ya Spika imekuja baada ya majibu ya Naibu waziri wa Fedha na Mipango Hamadi Hassan Chande kwenda kinyume na swali la msingi la Mbunge Mpina.

Hata waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba alipojaribu kutoa ufafanuzi, maelezo yake hayakufanana na swali la msingi la Mbunge huyo wa Kisesa.

Baada ya Spika kuwahoji viongozi hao wa wizara ya Fedha na Mipango na kukosa majibu yanayoridhisha, ndipo akaamuru swali hilo likajibiwe tena kama ambavyo limeulizwa na Mbunge Luhaga Mpina.

CHANZO: TBC

View attachment 2364512
Nizile za makinikia au ni zipi hizi, na Mpina mpaka anaziulizia WENDA Kuna Jambo , au walishapigwa pesa kuwazima na kununulia mabasi
 
Spika atapigiwa simu na Mama kisha atakuwa mpole na mujibu ya maana hayatapatikana.
 
Spika wa Bunge Dkt. Tulia Akson ameitaka wizara ya Fedha na Mipango kujibu upya swali namba 129 lililoulizwa na Mbunge Kisesa Luhaga Mpina, ambaye aliitaka serikali kutoa maelezo ya kwanini kesi 1,097 za kodi zenye thamani ya shilingi trilioni 360 na dola za Marekani milioni 181.4 hazijaamuliwa hadi sasa.

Hatua hiyo ya Spika imekuja baada ya majibu ya Naibu waziri wa Fedha na Mipango Hamadi Hassan Chande kwenda kinyume na swali la msingi la Mbunge Mpina.

Hata waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba alipojaribu kutoa ufafanuzi, maelezo yake hayakufanana na swali la msingi la Mbunge huyo wa Kisesa.

Baada ya Spika kuwahoji viongozi hao wa wizara ya Fedha na Mipango na kukosa majibu yanayoridhisha, ndipo akaamuru swali hilo likajibiwe tena kama ambavyo limeulizwa na Mbunge Luhaga Mpina.

CHANZO: TBC

View attachment 2364512
Mwigulu ana ishi kimaarifa maarifa. Mama ana muona bonge la waziri. Kumbe nigarasha
 
Jaji Mkuu anahangaika na kesi za Mbowe na Mdee, kesi za mauaji na Kodi hana habari nazo, anatafuta sifa za kisiasa
 
Spika wa Bunge Dkt. Tulia Akson ameitaka wizara ya Fedha na Mipango kujibu upya swali namba 129 lililoulizwa na Mbunge Kisesa Luhaga Mpina, ambaye aliitaka serikali kutoa maelezo ya kwanini kesi 1,097 za kodi zenye thamani ya shilingi trilioni 360 na dola za Marekani milioni 181.4 hazijaamuliwa hadi sasa.

Hatua hiyo ya Spika imekuja baada ya majibu ya Naibu waziri wa Fedha na Mipango Hamadi Hassan Chande kwenda kinyume na swali la msingi la Mbunge Mpina.

Hata waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba alipojaribu kutoa ufafanuzi, maelezo yake hayakufanana na swali la msingi la Mbunge huyo wa Kisesa.

Baada ya Spika kuwahoji viongozi hao wa wizara ya Fedha na Mipango na kukosa majibu yanayoridhisha, ndipo akaamuru swali hilo likajibiwe tena kama ambavyo limeulizwa na Mbunge Luhaga Mpina.

CHANZO: TBC

View attachment 2364512
Hazipo kwenye nini, trilioni 360 haziko kwenye traabu na traat, mashauri haya ya kikodi yaya yayayayyayayayayayayayayayayayayayayayayayayyayayayayay trab na trat. Hilo jibu la Dr wa Tozo. Ndo maana kumbe njia pekee ya mapato ni tozo
 
Spika wa Bunge Dkt. Tulia Akson ameitaka wizara ya Fedha na Mipango kujibu upya swali namba 129 lililoulizwa na Mbunge Kisesa Luhaga Mpina, ambaye aliitaka serikali kutoa maelezo ya kwanini kesi 1,097 za kodi zenye thamani ya shilingi trilioni 360 na dola za Marekani milioni 181.4 hazijaamuliwa hadi sasa.

Hatua hiyo ya Spika imekuja baada ya majibu ya Naibu waziri wa Fedha na Mipango Hamadi Hassan Chande kwenda kinyume na swali la msingi la Mbunge Mpina.

Hata waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba alipojaribu kutoa ufafanuzi, maelezo yake hayakufanana na swali la msingi la Mbunge huyo wa Kisesa.

Baada ya Spika kuwahoji viongozi hao wa wizara ya Fedha na Mipango na kukosa majibu yanayoridhisha, ndipo akaamuru swali hilo likajibiwe tena kama ambavyo limeulizwa na Mbunge Luhaga Mpina.

CHANZO: TBC

View attachment 2364512
 
Eti mwigulu nae ni waziri Tena wa feza ongezea na mipango mipango yenyewe ya selikali maajaabu hayawezi kuicha nchi hii
 
Back
Top Bottom