zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,075
- 9,263
hata hizo kanuni walizotengeneza wenyewe wanazikana kwenye vikao (wanakiuka), kwa hiyo bado tatizo sio kanuni, tatizo ni uspika wa kuendeshwa kwa remote.Hata kama mie sio mtalaamu sana katika masuala ya Bunge na Sheria, lakini tatizo la msingi kwangu naona sio Makinda bali Kanuni za Bunge. Labda kinachokosekana kwa Mama Anne Makinda ni ukosefu wa kutumia busara...kwamba, kila wakati anataka kutumia Kanuni za Bunge hata sehemu ambapo pengine busara ingetumika zaidi.