Spika Anne Makinda sasa analiendesha Bunge KIIMLA!

Spika Anne Makinda sasa analiendesha Bunge KIIMLA!

Kama aliwekwa pale kwa maslahi ya watawala, then tatizo ni yeye au waliommweka?

EMT tatizo ni yeye kutofuata kanuni kwa kujivunia chama chake kushika hatamu badala ya kujifahamu kuwa anapaswa kutenda haki.
 
Kwa hiyo kiini cha tatizo ni mkanganyiko wa kanuni za bunge?

Kuhusu uwezo wa spika kuhimili mashambulizi dhidi ya chama chake si mnadai aliwekwa pale kwa kwa maslahi ya chama chake?

EMT CCM ina ubia upi na kuua demokrasia kama vile kuzuia luninga zisionyeshe yanayoendelea bungeni au hata kuzivunja kamati kinyume na maelekezo ya kanuni?
 
Tatizo ni wote!!
Kwa kuwa taratibu za kumwondoa spika zipo,ndiyo maana tuna demand anguko lake wakati huu;hao walio muweka tutashughulika nao 2015.

Mpenda Yesu labda EMT ni mbena kama makinda kwa hiyo damu ni nzito kuliko maji.
 
Niliposema "chama chake" nilimaanisha jinsi anavyoilinda serikali inayotokana na CCM, lakini wewe unaposema "amewekwa" na chama chake inawezekana ina maana nyingine kabisa. Kwa sababu siamini watu kama Sitta, Mwakyembe na wafananao walikubaliana na "kuwekwa" kwa Makinda.

Tatizo ni mkanganyiko wa kanuni na mkanganyiko huo umesababishwa na upachikaji wa mambo usiofuata kanuni cha michakato ya kutatua tatizo. Tatizo letu lilikuwa ni kulirekebisha Bunge letu kuachana na kanuni zilizokuwa zinatumiwa na Bunge la enzi za chama kimoja na lile la mwanzoni mwa kuingia kwa mfumo wa vyama vingi. Lakini wasomi wetu badala ya kutatua tatizo wao wakapachikapachika mifumo mingi sana kuanzia ile ya Westminster mpaka ya bunge la Malaysia!

Kigarama acha kumtetea CCM hahitaji kulindwa na yeye bali inalindwa na sheria na taratibu zilizopo.......................anacholinda ni mafisadi ndani ya chama atawala, period!
 
Does that really matter kutaka kujua kiini cha tatizo?

Kwa hiyo Makinda akiondolewa na nafasi ya kuchukuliwa na mtu mwingine kama mbunge mwingine wa CCM mambo yatakuwa supa?

EMT hivi ukimkamata mwizi yamaanisha utamwachia kwa sababu wizi hautaisha au unamwadibisha na awe funzo.................kutabiri usupa wa mambo hauna tija kwa sababu siyo kazi yetu ya unajimu............ina wenyewe
 
EMT hivi ukimkamata mwizi yamaanisha utamwachia kwa sababu wizi hautaisha au unamwadibisha na awe funzo.................kutabiri usupa wa mambo hauna tija kwa sababu siyo kazi yetu ya unajimu............inawenywe

Wangapi wameiba na kupewa adhabu kubwa kama funzo lakini bado wezi wanaongezeka na wizi unaendelea kukua siku hadi siku?

Kumpa mwizi adhabu kubwa kama funzo kwa wezi wengine is a useless technique inayotumika hasa pale unaposhindwa ku-address the underlying cause ya huyo mwizi kuwa mwizi in the first place.

In the 21st century, people address problems by looking at the underlying causes of those problems na siyo ku-copy and ku-paste short terms solutions.

We must commit ourselves to understand or eliminate root causes of our problems and not just to flip flop on them.
 
EMT hapo kwenye nyekundu kunathibitisha ya kuwa hujui unaloliongea............Underlying cause zimebainishwa kwenye mada.........umeuliza umeelimishwa bado unadai hazijabainishwa You must belong to a strange school of thought.....pili, kama una majibu si ungeliyabandika humu....kukosoa na kutotoa majawabu sijui kama ndiyo mapigo ya karne ya 21...................angalau siye tumebaini matatizo yalipo na majawabu yake..............wewe umebakia underlying causes ambazo hujataja hata moja zaidi ya kuomba kuelimishwa na unapoelimishwa hata kushukuru hakuna ila kashfa tupu..................sijui shule zipi mwenzetu umesoma lakini naona hazina manufaa kwa jamii........................Tumethubutu kutoa majibu ya tatizo kama tunavyoliona kama una mitazamo tofauti si ubandike ya kwako? Kama huna si unakiri kuwa somo hili limekupita kando............utaeleweka kulikoni kujitutumua kama unavyofanya..................UNDERLYING CAUSES NILIZOZIBAINI NI HIZI HAPA............

Spika Anne Makinda ambapo kuukwaa uspika ilibidi "awezeshwe" na JK kupitia rafu kibao sasa ameonyesha hana sifa wala uzoefu wa kuliongoza Bunge hili ndani ya utamaduni wa vyama vingi.

Tatizo alilonalo ni kuwa yumo kwenye kundi dogo ndani ya CCM ambalo linaona nchi haifai kuwa kwenye mfumo wa vyama vingi na hivyo kufanya jitihada za siri na wazi kuuvuruga na kuleta shari ambazo siyo za lazima.
 
EMT hapo kwenye nyekundu kunathibitisha ya kuwa hujui unaloliongea............Underlying cause zimebainishwa kwenye mada.........umeuliza umeelimishwa bado unadai hazijabainishwa You must belong to a strange school of thought.....pili, kama una majibu si ungeliyabandika humu....kukosoa na kutotoa majawabu sijui kama ndiyo mapigo ya karne ya 21...................angalau siye tumebaini matatizo yalipo na majawabu yake..............wewe umebakia underlying causes ambazo hujataja hata moja zaidi ya kuomba kuelimishwa na unapoelimishwa hata kushukuru hakuna ila kashfa tupu..................sijui shule zipi mwenzetu umesoma lakini naona hazina manufaa kwa jamii........................Tumethubutu kutoa majibu ya tatizo kama tunavyoliona kama una mitazamo tofauti si ubandike ya kwako? Kama huna si unakiri kuwa somo hili limekupita kando............utaeleweka kulikoni kujitutumua kama unavyofanya..................UNDERLYING CAUSES NILIZOZIBAINI NI HIZI HAPA............

Ni zipi hizo underlying cause ambazo zimebainishwa kwenye mada?

Unaweza kuziodheresha hapa?
 
Nashindwa kuelewa japo najua ni kwa nini serikali ya ccm inashindwa kunyoosha kanuni na taratibu na matokeo yake kusingizia wbunge kulewa sifa kisa wanaonekana kwenye tv. Ni kweli live coverage inaongeza publicity. Lakini ndio sababu ya kutaka kuwakandamiza wapinzani Bungeni? Sidhani kama wabunge wa upinzani wangeleta mtafaruku kama maspika wangefuata kanuni. nafsi ya Makinda inajua kuwa haitendi haki. lakini kama haijui hili basi basi hili litakuwa janga!
 
Ni zipi hizo underlying cause ambazo zimebainishwa kwenye mada?

Unaweza kuziodheresha hapa?

EMT kwenye mada zimetajwa bado ukaulizia ukaelimishwa bado unauulizia...................sasa nina wasiwasi hata vyanzo vya hizi vurugu bungeni mwenzetu hutakaa kuvielewa..................ushauri wangu rudia mada na upitie michango yangu yote na utakuta majibu ya maswali yako...........sirudi kufanyakazi mara mbilimbili..........pengine ni mzito wa kuelewa kazi ambayo hata nikirudia bado utasahau kuwa nillikwisha kuelezea.........

MFUMO MBOVU WA KUPATA VIONGOZI NDANI YA CCM NDIYO CHIMBUKO KUU LA HUYU KILAZA MAKINDA NAYE KUONA ETI NAYE NI SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

Aking'olewa itawashtua CCM kubuni mfumo mpya wa kupata viongozi ndani ya chama ambao watapeperusha bendera bila uwoga au hata kuwaficha wapigakura waliowapa ugali kufahamu jinsi ambavyo wanawawakilisha vipi.......................................This is now a shame of the nation...................This Makinda ignominy
 
Nashindwa kuelewa japo najua ni kwa nini serikali ya ccm inashindwa kunyoosha kanuni na taratibu na matokeo yake kusingizia wbunge kulewa sifa kisa wanaonekana kwenye tv. Ni kweli live coverage inaongeza publicity. Lakini ndio sababu ya kutaka kuwakandamiza wapinzani Bungeni? Sidhani kama wabunge wa upinzani wangeleta mtafaruku kama maspika wangefuata kanuni. nafsi ya Makinda inajua kuwa haitendi haki. lakini kama haijui hili basi basi hili litakuwa janga!

Raia Fulani tatizo kubwa kwa ccm sasa hivi wamegundua utaratibu wao wa kupata viongozi umegubikwa na ufisadi na hauwezi kutoa viongozi wa kulifaa taifa kama michango ya Bunge inavyojionyesha.....................sasa wanaona kheri wazime demokrasia kujiokoa lakini wasichojua ni kuwa kadri wanavyozika haki za raia kujua nchi yao inaendeshwaje wanazidi kujipalia makaa ya mawe. huu pia ni ushahidi wa ya kuwa kuna kitu wanaficha na ni mtu mwovu tu ambaye hapendi uovu wake ujulikane...............na hata kwenye maandiko ipo:-

Mathew 5: 14-16

"You are the light of the word. A city that is built on the hill cannot be hidden. Nor do they light a lamp and put it under a basket, but on the lampstand that it gives light to all who are in the house. Let your light so shine before men that they may see your good deeds and glorify your Father in heaven." Christ Jesus in Mathew 5:14-16
 
EMT kwenye mada zimetajwa bado ukaulizia ukaelimishwa bado unauulizia...................sasa nina wasiwasi hata vyanzo vya hizi vurugu bungeni mwenzetu hutakaa kuvielewa..................ushauri wangu rudia mada na upitie michango yangu yote na utakuta majibu ya maswali yako...........sirudi kufanyakazi mara mbilimbili..........pengine ni mzito wa kuelewa kazi ambayo hata nikirudia bado utasahau kuwa nillikwisha kuelezea.........

Si usitaje basi? Kwa nini inakuwa ngumu?

Mimi sijaona mtu aliyetaja root causes za tatizo.

Kuna mchangiaji mmoja amesema kiini cha tatizo ni kanuni.

Lakini msikilize Tundu Lissu sasa ITV anasema kanuni sio mbaya.

EMT mfumo wa upatikanaji wa viongozi ndani ya CCM ndipo kuna tatizo. Makinda & Co. hawana sifa za uongozi na ndiyo maana wanalivuruga taifa. Ukiona kiongozi hataki wewe bosi wake upime jinsi anavyokuwakilisha ujue ana lake jambo ambalo hataki ulifahamu. Ungeliwatarajia katika hizi enzi za "voter fatigue" wangeliongeza kasi ya kuwashirikisha wananchi kwenye utendaji wao ili wawapime lakini wao sasa wanatafuta kujipa uhalali wa kutawala bila ridhaa ya wapigakura.....
 
Back
Top Bottom