hata hizo kanuni walizotengeneza wenyewe wanazikana kwenye vikao (wanakiuka), kwa hiyo bado tatizo sio kanuni, tatizo ni uspika wa kuendeshwa kwa remote.Hata kama mie sio mtalaamu sana katika masuala ya Bunge na Sheria, lakini tatizo la msingi kwangu naona sio Makinda bali Kanuni za Bunge. Labda kinachokosekana kwa Mama Anne Makinda ni ukosefu wa kutumia busara...kwamba, kila wakati anataka kutumia Kanuni za Bunge hata sehemu ambapo pengine busara ingetumika zaidi.
hata hizo kanuni walizotengeneza wenyewe wanazikana kwenye vikao (wanakiuka), kwa hiyo bado tatizo sio kanuni, tatizo ni uspika wa kuendeshwa kwa remote.
Rutashubanyuma kaweka vielelezo kibao vya kuonyesha kwamba Makinda hana uwezo, wewe unakuja na sentensi moja tu ya kusema anaweza bila ya kufafanua hoja zilizoletwa na mtoa mada. Huu nao ni mfano wa uwezo mdogo wa wanaCCM kuchambua mambo. Matatizo makubwa kama ya ukosefu wa democrasia bungeni mnayasolve kwa kufuta kuonyesha bunge live. Huo ni wehu. Kama ni hivyo bora na sisi wananchi tugome kuwapigia kura wabunge.
hata hizo kanuni walizotengeneza wenyewe wanazikana kwenye vikao (wanakiuka), kwa hiyo bado tatizo sio kanuni, tatizo ni uspika wa kuendeshwa kwa remote.
Hata kama siwezi kukataa hoja yako moja kwa moja, lakini bado naamini Kanuni za Bunge ni Tatizo!! Unajua kuna mambo mengi sana yanaonekana ya hovyo hovyo mno wakati mambo hayo yapo kwa mujibu wa sheria!! Na kama tukiweka ushabiki pembeni, mara nyingi Makinda anakuwaga RIGHT basing on those WORTHLESS PRINCIPLES! Wanachotakiwa upinzani ni kukazania kubadilishwa kwa kanuni zinazoonekana za hovyo hovyo with regard to the existing political sphere!
Sana sana ninachokiona kwa Makinda katika dunia ya kawaida(Real World) ni pale dereva unapokumbana na ama Traffic Police wa kike au wa kiume!! Madereva wanafahamu, ni heri ukumbane na Traffic wa kiume kuliko wa kike...!! Na si kwamba hao Traffic wa kike wanakuwa wamemuonea muhusika, la hasha....tatizo ni ile hali ya kutotoa nafasi for compromise!! Sometime, may be the issue of Inferiority Complex nayo ina-play part!
Hata kama mie sio mtalaamu sana katika masuala ya Bunge na Sheria, lakini tatizo la msingi kwangu naona sio Makinda bali Kanuni za Bunge. Labda kinachokosekana kwa Mama Anne Makinda ni ukosefu wa kutumia busara...kwamba, kila wakati anataka kutumia Kanuni za Bunge hata sehemu ambapo pengine busara ingetumika zaidi.
Unless you address the underlying cause ya watu kuiba utajaza magereza kwa kufunga watu wezi na kujenga mengine mapya.
Is that what you really want to do?
Kwa nini tunapenda sana ku-avoid the underlying causes of our problems?
Kwa nini tunapenda sana kutumia short cuts to address our fundamental problems?
Kweli udhani kabisa tatizo hapa ni Makinda na akiondolewa kwenye kiti cha uspika basi mambo yatakuwa super? Really?
Makinda aliwekwa pale kwa maslahi ya watawala,bila kuzingatia weledi na uwezo wake kiuongozi,kwa kigezo kwamba yeye ni mwanamke na ni wakati wa bunge kuongozwa na spika mwanamke!
Despite the weakness ya kwenye mfumo mzima wa bunge,spika aliyepita,Samuel Sitta alijitahidi kuongoza bunge kwa kufuata kanuni na sheria.
Ni kweli,Makinda pia ni kigezo kikubwa cha kuporomoka kwa kasi kwa ufanisi wa bunge hili mkuu EMT.
EMT tatizo si katiba tu bali mkanganyiko ulioko kwenye kanuni zenyewe za Bunge na uwezo wa Spika kuhimili mashambulizi dhidi ya chama chake cha CCM!!
EMT unaposema "chama chake" unaamanisha kundi la wanamtandao ndani ya CCM au unamaanisha CCM yenyewe? Mkanganyiko wa kanuni umesababishwa na tabia ya wasomi wetu wa kupachikapachika vitu bila ya kuchakata suala zima lenye utatizi.Kwa hiyo kiini cha tatizo ni mkanganyiko wa kanuni za bunge?
Kuhusu uwezo wa spika kuhimili mashambulizi dhidi ya chama chake si mnadai aliwekwa pale kwa kwa maslahi ya chama chake?
EMT unaposema "chama chake" unaamanisha kundi la wanamtandao ndani ya CCM au unamaanisha CCM yenyewe?
Mkanganyiko wa kanuni umesababishwa na tabia ya wasomi wetu wa kupachikapachika vitu bila ya kuchakata suala zima lenye utatizi.
Nikuulize wewe maana nimetumia maneno uliyotumia kwneye post yako ya awali ambapo umesema "...tatizo si katiba tu bali mkanganyiko ulioko kwenye kanuni zenyewe za Bunge na uwezo wa Spika kuhimili mashambulizi dhidi ya chama chake cha CCM!!"
Hapo kwenye red ulikuwa na maana ipi?
Kwa hiyo kiini cha tatizo siyo tena kanuni bali ni "tabia ya wasomi wetu kupachikapachika vitu bila ya kuchakata suala zima lenye utatizi"?
Niliposema "chama chake" nilimaanisha jinsi anavyoilinda serikali inayotokana na CCM, lakini wewe unaposema "amewekwa" na chama chake inawezekana ina maana nyingine kabisa. Kwa sababu siamini watu kama Sitta, Mwakyembe na wafananao walikubaliana na "kuwekwa" kwa Makinda.
Tatizo ni mkanganyiko wa kanuni na mkanganyiko huo umesababishwa na upachikaji wa mambo usiofuata kanuni cha michakato ya kutatua tatizo. Tatizo letu lilikuwa ni kulirekebisha Bunge letu kuachana na kanuni zilizokuwa zinatumiwa na Bunge la enzi za chama kimoja na lile la mwanzoni mwa kuingia kwa mfumo wa vyama vingi. Lakini wasomi wetu badala ya kutatua tatizo wao wakapachikapachika mifumo mingi sana kuanzia ile ya Westminster mpaka ya bunge la Malaysia!
Makinda ni mchapa kazi na anafanya kazi kwa mujibu wa kanuni na sheria za bunge. Mengine yote ni tisa.
Kama aliwekwa pale kwa maslahi ya watawala, then tatizo ni yeye au waliommweka?
Kwa hiyo tatizo ni katiba?