Spika atishia kuwaita IGP Siro, AG, na waziri M.Ndani kamati ya maadili kwa kushindwa kushughulika na Gwajima

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Nafurahi ninapoona mihimili inakinzana na hii inaonesha kweli Kuna separation of power.

Nimeshangaa Leo Spika anamlaumu Siro kwa kutokumkamata Gwajima, na ametishia kuwaleta maadili Siro Waziri wa Mambo ya Ndani na Mwanasheria Mkuu, hii ni nzuri kwakuwa mihimili Sasa inanguvu sawa, ndo inavotakiwa na hata ikiwezekana kesho chief judge aongee yake.
Msikilize spika hapa chini ndugai

 
Maisha ya Ndugai yanategemea ulinzi wa namba moja mungu ,mbili ni Siro na tatu mitishamba
 
Huyo aigpii mbona kama majukumu yalishamshinda muda mrefu, kama msimamizi wa usalama na utoaji haki, ama kwa kujua kwa maslahi ayajuayo ama kwakutokujua kwakuwa amezidiwa nguvu na mfumo anaousimamia. Hivyo hata kumwongezea majukumu hayo na anayetaka kumwongezea majukumu wote ni wacheza filamu na wote wamezidiwa na wanashindwa kuyahimili majukumu yao.
 
hakuna sehemu alipomtaja AGP hvgo vichanell vyenu uchwara vya youtube ndio maana mwendazake alikua anavipiga ban
Kwa kuwa sehemu ya wabambikaji mengi huwezi kuyaona kwakuwa unamanufaa nayo.
 
Subwoofer anamchimbia mkwara anayempa jehuri ya yeye kuwapo hapo Aah!! Mkumbushe bila yeye asingekuwa hapo anabishaa au kasahau?
 
Kwa mara ya kwanza Spika amenikosha!
 
Huyu anasumbuliwa na matumizi ya mda mrefu ya arv za wamarekani
 
Speaker ni kiboko ya waheshimiwa Gwajima na Silaa, naona Leo wamekuwa wapole ,na amewatahadharisha waende kusemasema nje ya ukumbi wa bunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…