Spika bunge Lebanon aiambia Israel kuwa Kisasi kinakuwa Chakula Bora zaidi kinapotolewa au kuliwa kikiwa baridi

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
NB: Paschal Mayalla naomba utupe fasiri sahihi ya sentesi hii (Revenge is a dish best served Cold)

Wadau hamjamboni nyote?

Kumekucha Mashariki ya kati

Spika wa bunge la Lebanon na mshirika mkubwa wa Hezbollah ameichimba mkwara Israel lazima ichezee kichapo kwa tuhuma za mauaji ya Kiongozi wa Hamas Ismail haniyeh

Spika huyo amesema Kisasi kinakuwa Chakula kizuri zaidi kinapotolewa au kuliwa kikiwa baridi

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

‘Revenge is a dish best served cold,’ Lebanese parliament speaker says of anticipated Iran-Hezbollah attack

Nabih Berri, the speaker of the Parliament of Lebanon and a staunch Hezbollah ally, says of a tensely anticipated joint Iranian and Hezbollah attack on Israel that “revenge is a dish best served cold.”

He warns that the “response is inevitable” after the recent killings of top Hezbollah military commander Fuad Shukr in an Israeli airstrike in Beirut and Hamas leader Ismail Haniyeh in Tehran.

Although both Iran and Hamas have accused Israel of being behind the killing of Haniyeh, Jerusalem has neither confirmed nor denied responsibility.

In an interview with the Lebanese newspaper Al-Jumhuriya, Berri says that Prime Minister Benjamin Netanyahu’s alleged decision to carry out the assassinations does not reflect “the behavior of someone who wants to reach a ceasefire.”

He does not rule out the possibility of a large-scale war between Hezbollah and Israel as long as Netanyahu remains in power, but notes that Iran-backed groups in the region “are managing the battle in a calculated manner.”

Times of Israel
 
Huyo waziri anasema nini? Au na yeye anatafuta shida? Mzayuni akimptia watu wasilalamike
 
Nimejifunza wanaoongeaongea Sana mtaani hawana uwezo. Kosasi tuone Angalau wanamuangusha Netanyau sio kurusha vidrone vinapiga mitende na mitini ya huko Israel huku wafanya maamuzi makubwa yanayowaumiza Kila siku.
 
Watu wanaendelea Kila siku kukimbia makazi na maeneo wewe unasema haya. Nilitegemea Israel aishambulie Lebanon kuliko hata alivyoishambulia Gaza.
 
Wanahama kaskazini ambalo pako kwenye range ya mashambulizi. Huwa Wanahama Kila ugomvi na hesbullah unapoibuka.

Iran kwa mfano Kila siku wanaoongeaongea Ila hawachukui hatua. Israel hasemi kitu haagi hatoi taadhari anavanya covet mission na kuua wa ya maamuzi wa kubwa kisha hajibu kitu wala hasemi chochote.. Wanavyojichelewesha ndivyo wanavyosogelewa na majasusi wa Mossad na kutrack location zao ha maficho yao, jibu moja tu la US na Israel linamaliha kabisa Serikali na sultan wao mkuu anakufa kwa PB. Waache kuleta taharuki kama vita wapigane kama majibu wajibu sio biti mwezi Sasa.
 
Zile manuari na submarine kutoka USA zinaenda kufanya kazi gani wakati muisraeli anafanya covet mission ??
 
Kumtia wenge adui, na kumrudisha nyuma kisaikolojia. Kama Hina nguvu jitahidi kuwa na rafiki mwenye nguvu
 
NB: Paschal Mayalla naomba utupe fasiri sahihi ya sentesi hii (Revenge is a dish best served Cold)

Wadau hamjamboni nyote?

Kumekucha Mashariki ya kati

Spika wa bunge la Lebanon na mshirika mkubwa wa Hezbollah ameichimba mkwara Israel lazima ichezee kichapo kwa tuhuma za mauaji ya Kiongozi wa Hamas Ismail haniyeh

Spika huyo amesema Kisasi kinakuwa Chakula kizuri zaidi kinapotolewa au kuliwa kikiwa baridi

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

‘Revenge is a dish best served cold,’ Lebanese parliament speaker says of anticipated Iran-Hezbollah attack

Nabih Berri, the speaker of the Parliament of Lebanon and a staunch Hezbollah ally, says of a tensely anticipated joint Iranian and Hezbollah attack on Israel that “revenge is a dish best served cold.”

He warns that the “response is inevitable” after the recent killings of top Hezbollah military commander Fuad Shukr in an Israeli airstrike in Beirut and Hamas leader Ismail Haniyeh in Tehran.

Although both Iran and Hamas have accused Israel of being behind the killing of Haniyeh, Jerusalem has neither confirmed nor denied responsibility.

In an interview with the Lebanese newspaper Al-Jumhuriya, Berri says that Prime Minister Benjamin Netanyahu’s alleged decision to carry out the assassinations does not reflect “the behavior of someone who wants to reach a ceasefire.”

He does not rule out the possibility of a large-scale war between Hezbollah and Israel as long as Netanyahu remains in power, but notes that Iran-backed groups in the region “are managing the battle in a calculated manner.”

Times of Israel
wana mikwara ila wakipigwa wanaanza kulia na kuomba waonewe huruma.
 
Sasa hizi nguvu tunazoambiwa na wayahudi wa uwanja wa fisi Na wa Gongo la Mboto , zinatoka wapi?
NGUVU ni neno Pana. Mwenye nguvu kubwa hupigana indirect ili aje akupige direct ukiwa huna madhara.
 
Huyo waziri anasema nini? Au na yeye anatafuta shida? Mzayuni akimptia watu wasilalamike
Ubaya wa mzayuni ana makachero kibao, pengine msaidizi wa spika ni kachero wa wazayuni, utasikia tu spika wa lebanoni augua ghafla na kufa
 
Back
Top Bottom