Spika Dkt. Tulia Ackson aibana Serikali kuhusu ajira kwa wanaojitolea katika taasisi mbalimbali za umma

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, ameibana serikali kuhusiana na suala la ajira kwa vijana wanaojitolea katika taasisi mbalimbali za umma. Akizungumza bungeni, leo Oktoba 29, 2024 Dkt. Tulia alisisitiza kuwa vijana hawa wanatoa mchango mkubwa kwa nchi, hivyo ni muhimu kwa serikali kuzingatia maslahi yao na kuhakikisha wanapata fursa za ajira rasmi.
Your browser is not able to display this video.
 
Kujitolea kwenye hii nchi sio ujitoe akili tu ila inatakiwa ujitoe ubongo wote...
 
Hayo mambo ya spika na genge lake hatuyahitaji humu, bakini nayo huko na machawa wenzenu
 
Pwagu na Pwaguzi.....Futuhi....Ndiyo ni Futuhi.

Nilitarajia kusikia aibana serikali itoe report kuhusu utekaji wa raia wake na kuandaa tasj force ya kutokomeza wasiojulikana.
 
Anapambana issue nyepesi.....hana jipya...asubiri maswali magumu jimboni
 
Wasengerema tu hao mkuu...mtu ana watu wake analazimisha waajiriwe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…