Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Kama ni uchawa basi mm niko tayari kuwa chawa wake, ni kama Maria Sarungi alivyo chawa wa Tundu Lissu au God bless Lema alivyo chawa kwa Mbowe, mimi ni chawa wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwanini, nimekuwa nafatilia sana shughuli za bunge na leo asbh naangalia kipindi cha maswali na majibu bungeni, kiukweli huyu dada mungu ambariki sana.
Hoja yoyote ya kisheria ana uwezo wa kuitolea ufafanuzi hata chizi akamwelewa kwa lugha nyepesi tu.
Ni msomi lakini huwezi kumsikia Dkt.Tulia akiongea kwa kuchanganya kimombo na kiswahili.
Dada huyu nguli wa sheria hana majivuno kama Tundu Lissu, hana majivuno kama Peter Kibatala, hana majivuno kama yule mwehu Mwabukusi, hana majivuno kama Wakili Madeleke anayetetea dada poa.
Hana upendeleo pia katika kujibu, leo ameulizwa swali na ester matiko kwanini bunge linaendelea halafu kiongozi wa serikali hayupo bungeni.
Ametolea ufafanuzi mzuri mwongozo huo na ameikemea serikali kuwa utaratibu huo sio mzuri.
Hatumii nguvu kama Tundu Lissu, Lissu akiongea povu linamtoka utadhani yuko na demu wake Maria.
Hongera sana spika, moja ya maspika wenye weledi mkubwa wa kisheria.
Halafu eti Sugu anachukua fomu kugombea dhidi ya msomi huyo, aibu kubwa naiona mimi