Spika Dkt. Tulia aomba jimbo la Mbeya Mjini kugawanywa

Huu ni Ubadhirifu tu ambao hakuna mzalendo anayeweza kuunga mkono.
Wanaoweza kumudu utawala wa maeneo hayo wapewe kipaumbele na wasioweza waache.
Hela ya umma naona kweli watu hawaionei huruma jamaani.
 
Inasikitisha mpango uliopo ni kugawa jimbo kuwa majimbo matatu.
ili Amuachie :=
1. Mwabukusi.
2. Sugu
3.Yeye Mwenyewe.

Hizi ghrama zinaingiwa na wananchi maskini wanaokula mlo mmoja na kukomba sufuria wakati wao wakila na kusaza.
 
Ccm wanawaza uchaguzi muda woote
 
Kwa kifupi, "Spika aomba kuongeza matumizi ya fedha za serikali"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…