Spika Dkt. Tulia awatembelea hospitali Wabunge majeruhi wa basi

Huyu mama alijua tu baada ya kusema yeye abaki abaki lazima kuna vibibi vya Ghamboshi vitamtest bahati nzuri hamna watu wamezindikwa kuzidi wanasiasa wa Bongo land..
 
Tujue majina yao
1. Florent Kiombo- Nkenge
2. Asia Abdulkarim Halamga- Viti Maalum, Manyara
3. Nicodemus Maganga- Mbogwe
4. Grace Tendega- Viti Maalum- Iringa
5. Suma Ikenda Fyandomo- Viti Maalum- Mbeya
6. Zulfa Mmaka Omar- Viti Maalum- Kusini, Pemba
7. Nicholaus Ngassa- Igunga
8. Juliana Shonza- Viti Maalum- Songwe
9. Catherine Magige- Viti Maalum Arusha
10. Shamsia Azziz- Viti Maalum- Mtwara
11. Abdul Yusuph- mbunge wa kuteuliwa
12. Jesca Msambatavangu- mbunge wa Iringa mjini
13. Saasisha Mafue- Mbunge wa Hai
14. Boniface Butondo- mbunge wa Kishapu
15. ...
16. ....


View: https://x.com/AbroadTanzania/status/1865427331512492372?t=sfIyxRXSvAG95too4MJyaA&s=19
 
Sasa bado wanafanya nini huko!
 
Huenda ile ajali ilikuwa kubwa kuliko ilivyoripotiwa. Sema Mungu ana maajabu yake yaani hadi sasa hakuna jimbo lililoachwa wazi?
Kwa mitusi ile unadhani media gani ingeripoti zaidi?
 
Asante sana mkuu. Tunawaweka kwenye maombi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…