Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viti maalimu! Vya jiwe.1. Florent Kiombo- Nkenge
2. Asia Abdulkarim Halamga- Viti Maalum, Manyara
3. Nicodemus Maganga- Mbogwe
4. Grace Tendega- Viti Maalum- Iringa
5. Suma Ikenda Fyandomo- Viti Maalum- Mbeya
6. Zulfa Mmaka Omar- Viti Maalum- Kusini, Pemba
7. Nicholaus Ngassa- Igunga
8. Juliana Shonza- Viti Maalum- Songwe
9. Catherine Magige- Viti Maalum Arusha
10. Shamsia Azziz- Viti Maalum- Mtwara
11. Abdul Yusuph- mbunge wa kuteuliwa
12. Jesca Msambatavangu- mbunge wa Iringa mjini
13. Saasisha Mafue- Mbunge wa Hai
14. Boniface Butondo- mbunge wa Kishapu
15. ...
16. ....
Vit... maalum😄, kazi kuzurura na kutafuna Kodi zetu.1. Florent Kiombo- Nkenge
2. Asia Abdulkarim Halamga- Viti Maalum, Manyara
3. Nicodemus Maganga- Mbogwe
4. Grace Tendega- Viti Maalum- Iringa
5. Suma Ikenda Fyandomo- Viti Maalum- Mbeya
6. Zulfa Mmaka Omar- Viti Maalum- Kusini, Pemba
7. Nicholaus Ngassa- Igunga
8. Juliana Shonza- Viti Maalum- Songwe
9. Catherine Magige- Viti Maalum Arusha
10. Shamsia Azziz- Viti Maalum- Mtwara
11. Abdul Yusuph- mbunge wa kuteuliwa
12. Jesca Msambatavangu- mbunge wa Iringa mjini
13. Saasisha Mafue- Mbunge wa Hai
14. Boniface Butondo- mbunge wa Kishapu
15. ...
16. ....
Kwa posho na mshahara wa mbunge ni waku safirishwa kwa BUS?Ungetembea mkuu?
tena hizo picha zenyewe zimepigwa kichoyo ni kama vile mpiga picha alilala kifudifudi sakafuni ndio akapiga hizo picha..tatizo la nchi hii kuumwa kwa viongozi ni siri ila wakikata moto hayo mapambio sasa.!Wabunge waliopata ajali hawana majina.?