Spika Dkt. Tulia awatembelea hospitali Wabunge majeruhi wa basi

Spika Dkt. Tulia awatembelea hospitali Wabunge majeruhi wa basi

Hata kuwataja majina imekuwa muhali! Watawala badilikeni huo uhasama mnaoutengeneza dhidi ya wananchi mwisho wake siyo mzuri.
 
1. Florent Kiombo- Nkenge
2. Asia Abdulkarim Halamga- Viti Maalum, Manyara
3. Nicodemus Maganga- Mbogwe
4. Grace Tendega- Viti Maalum- Iringa
5. Suma Ikenda Fyandomo- Viti Maalum- Mbeya
6. Zulfa Mmaka Omar- Viti Maalum- Kusini, Pemba
7. Nicholaus Ngassa- Igunga
8. Juliana Shonza- Viti Maalum- Songwe
9. Catherine Magige- Viti Maalum Arusha
10. Shamsia Azziz- Viti Maalum- Mtwara
11. Abdul Yusuph- mbunge wa kuteuliwa
12. Jesca Msambatavangu- mbunge wa Iringa mjini
13. Saasisha Mafue- Mbunge wa Hai
14. Boniface Butondo- mbunge wa Kishapu
15. ...
16. ....
Viti maalimu! Vya jiwe.
 
1. Florent Kiombo- Nkenge
2. Asia Abdulkarim Halamga- Viti Maalum, Manyara
3. Nicodemus Maganga- Mbogwe
4. Grace Tendega- Viti Maalum- Iringa
5. Suma Ikenda Fyandomo- Viti Maalum- Mbeya
6. Zulfa Mmaka Omar- Viti Maalum- Kusini, Pemba
7. Nicholaus Ngassa- Igunga
8. Juliana Shonza- Viti Maalum- Songwe
9. Catherine Magige- Viti Maalum Arusha
10. Shamsia Azziz- Viti Maalum- Mtwara
11. Abdul Yusuph- mbunge wa kuteuliwa
12. Jesca Msambatavangu- mbunge wa Iringa mjini
13. Saasisha Mafue- Mbunge wa Hai
14. Boniface Butondo- mbunge wa Kishapu
15. ...
16. ....
Vit... maalum😄, kazi kuzurura na kutafuna Kodi zetu.

Waf... Tu.
 
Ukipanda ndege 759,431.56

Tatizo la kutoka BACKGROUND ZA KIMASIKINI.

UNAJILIPIA HUYO CHAP KENYAA UNA BANANA KWENYE BUS KAMA MWANAFUNZI...


IFIKE MAHALI NYINYI WABUNGE MUE NA REASONING.

BARA BARA ZA ULAYA NI ZINAJENGWA KAMA ILIVYO BARABARA ZA MWENDOKASI YAAN KUNA KI UKUTA ZINAZO ENDA ZINAENDA ZINAZO RUDI ZINARUDI.

NI WAKATI MWAFAKA WABUNGE WAONE UMUHIMU WA KUJENGA MIUNDO MBINU KAMA YA ULAYAAA
 
Wabunge waliopata ajali hawana majina.?
tena hizo picha zenyewe zimepigwa kichoyo ni kama vile mpiga picha alilala kifudifudi sakafuni ndio akapiga hizo picha..tatizo la nchi hii kuumwa kwa viongozi ni siri ila wakikata moto hayo mapambio sasa.!
 
Back
Top Bottom