Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Usipika wake utakoma tu.Spika Dkt. Tulia Ackson amesema 'kutokumuona mtu haimaanishi ametekwa' wakati akijibu swali kuhusu utekaji ambao umekuwa ukiripotiwa hapa nchini
View attachment 3327188
Hili naloooo.....subiri libwana lako lipotee tutaona utavyohaha.....ny.....a..Spika Dkt. Tulia Ackson amesema 'kutokumuona mtu haimaanishi ametekwa' wakati akijibu swali kuhusu utekaji ambao umekuwa ukiripotiwa hapa nchini
View attachment 3327188
Tumwulize tu mama yetu Spika, hivi yeye asipoonekana halafu tukakuta dimbwi la damu, basi tuchukue kama tukio la kawaida tu?Spika Dkt. Tulia Ackson amesema 'kutokumuona mtu haimaanishi ametekwa' wakati akijibu swali kuhusu utekaji ambao umekuwa ukiripotiwa hapa nchini
View attachment 3327188
Hawa wanawake, auSpika Dkt. Tulia Ackson amesema 'kutokumuona mtu haimaanishi ametekwa' wakati akijibu swali kuhusu utekaji ambao umekuwa ukiripotiwa hapa nchini
View attachment 3327188
Video: UTV
Nataka kusema, sijui niseme, au basi niache tu. Nisimkosee MUNGU na binadamuSpika Dkt. Tulia Ackson amesema 'kutokumuona mtu haimaanishi ametekwa' wakati akijibu swali kuhusu utekaji ambao umekuwa ukiripotiwa hapa nchini
View attachment 3327188
Video: UTV
Mme wake ndy anatupangia bei za mafutaHuyu ajuza natamani atekwe mumewe, hana akili kabisa
Ameongea kisheria zaidi sasa wewe unaangalia kisiasa zaidi.Wanawake nimakatili kulko wanaume
Wazee wetu waliona mbali wakawapa kazi ya
Kuzaa na kulea watoto na kupika
Kupitia samia na tulia nimejifunza wanawake ni watu katili sana