Hawa watu mikono yao inanuka sana damuWakuu!
Spika Dkt. Tulia Ackson amesema 'kutokumuona mtu haimaanishi ametekwa' wakati akijibu swali kuhusu utekaji ambao umekuwa ukiripotiwa hapa nchini
View attachment 3327188
Video: UTV
Speaker wa Dunia analetewa copy ya mjadala wa TL na EU Parliament. Sijui nayeye lini ataitisha kikao aishinikize serikali, pamoja na Bunge kuhusuana na matumizi ya sheria ya kunyongwa kwa kesi za kisiasa za kusingiziwa.Wakuu!
Spika Dkt. Tulia Ackson amesema 'kutokumuona mtu haimaanishi ametekwa' wakati akijibu swali kuhusu utekaji ambao umekuwa ukiripotiwa hapa nchini
View attachment 3327188
Video: UTV
Aibu nimeona mimi kwa huyu Rais wa mabunge dunianiWakuu!
Spika Dkt. Tulia Ackson amesema 'kutokumuona mtu haimaanishi ametekwa' wakati akijibu swali kuhusu utekaji ambao umekuwa ukiripotiwa hapa nchini
View attachment 3327188
Video: UTV
Huyu bibi ana akili kweli? Kwa hiyo mdude pia hajatekwa? Watu wamwogope Mungu jamaniWakuu!
Spika Dkt. Tulia Ackson amesema 'kutokumuona mtu haimaanishi ametekwa' wakati akijibu swali kuhusu utekaji ambao umekuwa ukiripotiwa hapa nchini
View attachment 3327188
Video: UTV
watanzania tumepigwa na kitu kizitoWakuu!
Spika Dkt. Tulia Ackson amesema 'kutokumuona mtu haimaanishi ametekwa' wakati akijibu swali kuhusu utekaji ambao umekuwa ukiripotiwa hapa nchini
View attachment 3327188
Video: UTV
Haa Uliza Vema Kuna Mengi Sana PaleMme wake ndy anatupangia bei za mafuta
Ova
Hii ni kauli ya dharau, si vizuri kiongoz kuongea such thingWakuu!
Spika Dkt. Tulia Ackson amesema 'kutokumuona mtu haimaanishi ametekwa' wakati akijibu swali kuhusu utekaji ambao umekuwa ukiripotiwa hapa nchini
View attachment 3327188
Video: UTV
Duuu kweli nimeamini njaa ya tumbo inaweza ikakutoa katika ukweli, ufahamu na haki. Uprofesa, udokta sio kuwa na akili saaaaana. Heri ya mimi Darasa la saba D shule ya Msingi Machojuu.Wakuu!
Spika Dkt. Tulia Ackson amesema 'kutokumuona mtu haimaanishi ametekwa' wakati akijibu swali kuhusu utekaji ambao umekuwa ukiripotiwa hapa nchini
View attachment 3327188
Video: UTV
mkuu mume wake unamjua kweli.? si inasemwa humu mume ni yule mkurugenzi wa EWURA..nani wa kumteka sasa bosi kama huyoHuyu ajuza natamani atekwe mumewe, hana akili kabisa
Wangekuwa hata wa chama chetu CCM nao wanapoteza hivi, tungeyakubali haya. Ila sijui hata mmoja wa ccm aliyewahi kupotezwa. Maajabu hayaishi TanzaniaAmeongea kisheria zaidi sasa wewe unaangalia kisiasa zaidi.