PreGE2025 Spika Dkt. Tulia: Kutokumuona mtu haimaanishi ametekwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ukishaanza kucheza na damu za watu huwa hauna kitambo kirefu kabla hayajaanza kukurudia.
 
Wangekuwa hata wa chama chetu CCM nao wanapoteza hivi, tungeyakubali haya. Ila sijui hata mmoja wa ccm aliyewahi kupotezwa. Maajabu hayaishi Tanzania
Mbona wako wengi tu wamekufa kwa kushambuliwa huko Iringa, Mbeya, Kigoma etc. Sema tu CCM huwa hapigi kelele kama CDM wenyewe hufuata sheria tu.
 
Makes sense. Kwetu mtu kashikwa ugoni au kakimbia madeni atasemwa kwanza ni WA CHADEMA pili katekwa tatu katekwa na Polisi nne katekwa kwa amri ya Tume ya CCM
 
Wakuu!

Spika Dkt. Tulia Ackson amesema 'kutokumuona mtu haimaanishi ametekwa' wakati akijibu swali kuhusu utekaji ambao umekuwa ukiripotiwa hapa nchini

Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson ameeleza kuwa Bunge haliwezi kujadili kuhusu madai na tuhuma mbalimbali zinazoelekezwa kwa Jeshi la Polisi kuwa wanahusika na masuala ya utekaji wa raia kutokana na kutokuwa na uhakika na uthibitisho wa Polisi kuhusika na matukio hayo.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kulingana na Spika Tulia aliyekuwa akizungumza na Chombo Kimoja cha habari ameeleza pia kwamba matumizi ya neno Utekaji yamekuwa sio sahihi, akidai kuwa neno hilo limerahisishwa matumizi yake na wakati mwingine kuchanganywa na watu kupotea ama kutokuonekana kama ambavyo imekuwa kawaida ya watu fulani kuonekana kwenye maeneo fulani fulani.

"Sura inayoletwa Bungeni sio kwamba tujadili utekaji ni tujadili utekaji wa Polisi, Mimi sina taarifa kuwa Polisi ndio wanaoteka na yeye (Mbunge) alileta kwa sura kuwa Polisi ndio wanaoteka sasa Bunge haliwezi kujadili hoja kama hiyo. Kwanini? Bunge linapojadili hoja lazima litoe maazimio na tukitoa maazimio lazima tuiiagize serikali, haya tukishajadili polisi wanateka tunaiagiza nini Serikali? ivunje Jeshi la Polisi?" Amehoji Spika Tulia.

Video: UTV
I don't know what this ugly woman is saying, People are being abducted by this stupid regime of Samia Suluhu Hassan, not only that, people are being killed for nothing other than political reasons, persecution in this country is horrible. Why is denying and she knows it is truth people are being killed?
 
Wakuu!

Spika Dkt. Tulia Ackson amesema 'kutokumuona mtu haimaanishi ametekwa' wakati akijibu swali kuhusu utekaji ambao umekuwa ukiripotiwa hapa nchini

Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson ameeleza kuwa Bunge haliwezi kujadili kuhusu madai na tuhuma mbalimbali zinazoelekezwa kwa Jeshi la Polisi kuwa wanahusika na masuala ya utekaji wa raia kutokana na kutokuwa na uhakika na uthibitisho wa Polisi kuhusika na matukio hayo.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kulingana na Spika Tulia aliyekuwa akizungumza na Chombo Kimoja cha habari ameeleza pia kwamba matumizi ya neno Utekaji yamekuwa sio sahihi, akidai kuwa neno hilo limerahisishwa matumizi yake na wakati mwingine kuchanganywa na watu kupotea ama kutokuonekana kama ambavyo imekuwa kawaida ya watu fulani kuonekana kwenye maeneo fulani fulani.

"Sura inayoletwa Bungeni sio kwamba tujadili utekaji ni tujadili utekaji wa Polisi, Mimi sina taarifa kuwa Polisi ndio wanaoteka na yeye (Mbunge) alileta kwa sura kuwa Polisi ndio wanaoteka sasa Bunge haliwezi kujadili hoja kama hiyo. Kwanini? Bunge linapojadili hoja lazima litoe maazimio na tukitoa maazimio lazima tuiiagize serikali, haya tukishajadili polisi wanateka tunaiagiza nini Serikali? ivunje Jeshi la Polisi?" Amehoji Spika Tulia.

Video: UTV
Hivi huyu spika naye hawezi kufichwa ila asitekwe tu, tuone CCM watasemaje.
 
watanzania tumepigwa na kitu kizito

eti hawa ndio wasomi wa nchi yetu!
Hatujapigwa mkuu ni sahihi kabisa kuwa na wasomi kama hao katika nchi yenye wananchi kama sisi, kinyume na hivyo tungekuwa na wasomi ambao wako sehemu ambayo sio sahihi.

Watanzania tuna deserve kabisa wasomi kama hao.
 
halafu baadae tunaulizana kwa nini hatujaendelea ................. kama nchi zingine?
 
Mateso haya yote humu duniani tunapata kutokana na UASI wa HAWA baada ya kushirikiana na "NYOKA' kumdanganya ADAM na kuleta uasi duniani! Endapo 'NYOKA' angeanzia kwa ADAM ile mission isingewezekana kabisa!
 
Wakuu!

Spika Dkt. Tulia Ackson amesema 'kutokumuona mtu haimaanishi ametekwa' wakati akijibu swali kuhusu utekaji ambao umekuwa ukiripotiwa hapa nchini

Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson ameeleza kuwa Bunge haliwezi kujadili kuhusu madai na tuhuma mbalimbali zinazoelekezwa kwa Jeshi la Polisi kuwa wanahusika na masuala ya utekaji wa raia kutokana na kutokuwa na uhakika na uthibitisho wa Polisi kuhusika na matukio hayo.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kulingana na Spika Tulia aliyekuwa akizungumza na Chombo Kimoja cha habari ameeleza pia kwamba matumizi ya neno Utekaji yamekuwa sio sahihi, akidai kuwa neno hilo limerahisishwa matumizi yake na wakati mwingine kuchanganywa na watu kupotea ama kutokuonekana kama ambavyo imekuwa kawaida ya watu fulani kuonekana kwenye maeneo fulani fulani.

"Sura inayoletwa Bungeni sio kwamba tujadili utekaji ni tujadili utekaji wa Polisi, Mimi sina taarifa kuwa Polisi ndio wanaoteka na yeye (Mbunge) alileta kwa sura kuwa Polisi ndio wanaoteka sasa Bunge haliwezi kujadili hoja kama hiyo. Kwanini? Bunge linapojadili hoja lazima litoe maazimio na tukitoa maazimio lazima tuiiagize serikali, haya tukishajadili polisi wanateka tunaiagiza nini Serikali? ivunje Jeshi la Polisi?" Amehoji Spika Tulia.

Video: UTV
Mpumbavu sana, sidhani kama hiyo PhD ni ya juhudi zake huenda ndiyo zile za nguo, ameambiwa mtu kafuatwa kwake na askari, magari ya askari yanafahamika, ameambiwa kuna askari alimwambia mtu wanamtaka Mdude, sasa kitu gani kigumu kuelewa hapo
 
Back
Top Bottom