Eti ni Phd holder!Wakuu!
Spika Dkt. Tulia Ackson amesema 'kutokumuona mtu haimaanishi ametekwa' wakati akijibu swali kuhusu utekaji ambao umekuwa ukiripotiwa hapa nchini
View attachment 3327188
Video: UTV
Mbona yule wa Musoma katekwa na ni tajiri? inawezekana kabisamkuu mume wake unamjua kweli.? si inasemwa humu mume ni yule mkurugenzi wa EWURA..nani wa kumteka sasa bosi kama huyo
Yeye ni sehemu ya watekajiTanzania ina viongozi wa hovyo sana, angepotewa mamake mzazi angesema haya?
shimo la k,umesahauHiki kimwanamke ni kibaya kila kitu, mwili, sura na roho
Mbona wako wengi tu wamekufa kwa kushambuliwa huko Iringa, Mbeya, Kigoma etc. Sema tu CCM huwa hapigi kelele kama CDM wenyewe hufuata sheria tu.Wangekuwa hata wa chama chetu CCM nao wanapoteza hivi, tungeyakubali haya. Ila sijui hata mmoja wa ccm aliyewahi kupotezwa. Maajabu hayaishi Tanzania
Dunia tunapiitaaaaaDunia hii
I don't know what this ugly woman is saying, People are being abducted by this stupid regime of Samia Suluhu Hassan, not only that, people are being killed for nothing other than political reasons, persecution in this country is horrible. Why is denying and she knows it is truth people are being killed?Wakuu!
Spika Dkt. Tulia Ackson amesema 'kutokumuona mtu haimaanishi ametekwa' wakati akijibu swali kuhusu utekaji ambao umekuwa ukiripotiwa hapa nchini
Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson ameeleza kuwa Bunge haliwezi kujadili kuhusu madai na tuhuma mbalimbali zinazoelekezwa kwa Jeshi la Polisi kuwa wanahusika na masuala ya utekaji wa raia kutokana na kutokuwa na uhakika na uthibitisho wa Polisi kuhusika na matukio hayo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kulingana na Spika Tulia aliyekuwa akizungumza na Chombo Kimoja cha habari ameeleza pia kwamba matumizi ya neno Utekaji yamekuwa sio sahihi, akidai kuwa neno hilo limerahisishwa matumizi yake na wakati mwingine kuchanganywa na watu kupotea ama kutokuonekana kama ambavyo imekuwa kawaida ya watu fulani kuonekana kwenye maeneo fulani fulani.
"Sura inayoletwa Bungeni sio kwamba tujadili utekaji ni tujadili utekaji wa Polisi, Mimi sina taarifa kuwa Polisi ndio wanaoteka na yeye (Mbunge) alileta kwa sura kuwa Polisi ndio wanaoteka sasa Bunge haliwezi kujadili hoja kama hiyo. Kwanini? Bunge linapojadili hoja lazima litoe maazimio na tukitoa maazimio lazima tuiiagize serikali, haya tukishajadili polisi wanateka tunaiagiza nini Serikali? ivunje Jeshi la Polisi?" Amehoji Spika Tulia.
Video: UTV
Hivi huyu spika naye hawezi kufichwa ila asitekwe tu, tuone CCM watasemaje.Wakuu!

Hatujapigwa mkuu ni sahihi kabisa kuwa na wasomi kama hao katika nchi yenye wananchi kama sisi, kinyume na hivyo tungekuwa na wasomi ambao wako sehemu ambayo sio sahihi.watanzania tumepigwa na kitu kizito
eti hawa ndio wasomi wa nchi yetu!
Mkuu ingekuwa unalosema ni kweli basi hao wasingekuwa wanathubutu kuongea vitu kama hivyo tena kwa confidence.Watanzania Siyo Wajinga
Ni kweli tuna viongozi wa hovyo ila je tuna wananchi wa aina gani?Tanzania ina viongozi wa hovyo sana, angepotewa mamake mzazi angesema haya?
halafu baadae tunaulizana kwa nini hatujaendelea ................. kama nchi zingine?Hatujapigwa mkuu ni sahihi kabisa kuwa na wasomi kama hao katika nchi yenye wananchi kama sisi, kinyume na hivyo tungekuwa na wasomi ambao wako sehemu ambayo sio sahihi.
Watanzania tuna deserve kabisa wasomi kama hao.
Mpumbavu sana, sidhani kama hiyo PhD ni ya juhudi zake huenda ndiyo zile za nguo, ameambiwa mtu kafuatwa kwake na askari, magari ya askari yanafahamika, ameambiwa kuna askari alimwambia mtu wanamtaka Mdude, sasa kitu gani kigumu kuelewa hapoWakuu!