Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Hakuna haja ya kuwa na Bunge linalokataa kujadili Masahibu yanayo wakumba watoto wetu, kaka zetu na ndugu zetu kwa sababu tuu hoja imeletwa Bungeni na Mbunge wa upinzani Aida Kenan wa CHADEMA. Hii ni high level ya stupidity and contempt kwa wananchi hasa kipindi hiki wanalizwa na yanayo tokea.
Wananchi tuazimie kabisa kwa hawa wabunge kuwa tumewafukuza kazi na wasirudi majimboni. Tuwaambie; You are fired! Sisi sio kama Gen Z wa Kenya kuwapiga mawe,ila watambue wametukosea na hatuwataki tena.
Bangladesh!
Soma Pia:

- OLENGURUMWA: Ripoti ya Jeshi la Polisi inaonesha mwaka 2023 kulikuwepo na matukio ya utekaji wa Watoto takribani 73
- Watu Wasiojulikana: Malisa aelezea tukio la kutekwa kwa Deus Soka na vijana wengine wawili wa CHADEMA
- Freeman Mbowe: Viongozi wa CHADEMA na Watanzania wasio na Vyama wanaoendelea kutekwa na Vyombo vya Usalama vya Nchi yetu