Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi

Pascal Mayalla hiyo habari toka twita haijathibitishwa lkn.
Kama mwandishi wa habari umewahi mno kupost kabla hujajiridhisha
 
Total compromisation
 
angalieni nilisema nini hapo kuhusu kufoji,na mlinganishe na alichokisema leo Mhe。Ester Bulaya
Amesema hakuna forgeries,ingekuwepo wangeshitakiwa,

ila mimi mwenzenu jamani ni binadamu tu 。。。!,huyu mdada,sio tuu namkubali sana tuu kichizi,bali kiukweli,pia nina 。。。,, naomba nisimalizie!,, tena nimeanza kumzimikia long time toka yuko CCM Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, ni mbunge pekee aliyesaini petition ya Zitto ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu! Chadema ikomppteza itakuwa imepoteza kitu kikubwa,na wasipoamua mapema kuwasamehe,hawa watatu,Halima Mdee,Ester Bulaya na Ester Matiko,watagombewa kama mpira wa kona na majimbo yao,wakosimama kupitia chama chochote,wana tusua!。
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…