Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi

Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi

Acha upumbavu,nani na wapi pameandikwa kuwa katiba ya CDM ipo chini ya katiba ya nchi?tatizo la dot.com ni pamoja na kuwa wavivu wa kutafuta facts, nchi inaendeshwa kwa katiba ya kidikiteta ndio maana katiba mpya ni muhimu, vyama vya kisiasa vitawajibika kwa NEC na kujisajili kwao sio msajili wa vyama (ofisi hii ni ya kimichongo)
Wewe ni mjinga. Soma tena.
 
Wameenda kama Wanachadema.

Hawakutenda haki katika kuwafukuza. Ni mahakama pekee ndio imepewa mamlaka Kikatiba ya kuamua uhalali au uharamu wa uanachama wao katika muktadha huu.

The moment walipoonesha nia ya kwenda mahakamani tayari walithibitisha kuhisi kutokutendewa haki na nia yao ya kupigania haki yao.

Katika muktadha huu, Spika anawajibika kuwalinda mpaka mahakama itakapoamua vinginevyo.

Punguzeni mahaba.
Nachokiona hata kwenda mahakamani ni ushauri wa Mbowe kuzunguka maamuzi ya cc na mk... ili aendelee kula ruzuku. Time will tell.
 
Naomba nikwambie kitu mdogo wangu britanicca .
Ni upumbavu na uhuni wa hali ya juu kufanya mapatano na mtu binafsi huku ukitegemea huyo mtu binafsi atakukingia kifua linapokuja swala la kitaasisi.
Taasisi ni kubwa kuliko mtu mmoja binafsi,hata kama huyo mtu ni kiongozi wa hiyo taasisi.
Mimi ni muwekezaji,ukikutana na mimi kishkaji na tukakubaliana kishkaji,usidhani kwenye makampuni yangu yatahusika na wewe.
Mkuu tusidanganyane kwenye hivi vyama vyetu vya siasa Mwenyekiti ndio kila kitu iwe CCM,CUF,ACT nk
 
Mkuu Pascal Mayalla nina moja lakukuambia kuwaita watu wanaohoji Suala la spika kuwakingia kifua Kina Mdee eti kua wana mahaba yaliyopitiliza na Chadema ndio maana hawaoni uovu wa Chadema....the same na wewe tuseme you are pure Anti-Chadema because day after day hujaandika kitu hata mstari mmoja kwenye thread yako kusifu Chadema so because wewe ni una NONGWA na Chadema huwezi kuona udhalimu unaofanywa na serikali y CCM kwa sababu na wewe ni mwana-Ccm mzuri kama walivyo wana-Chadema watiifu kwa Chama chao..
 
Sasa CDM mahaba nao hawaulizi hili kwa viongozi wao

hivi mbowe anawezaje kuwadanganya hawa wote? Ana nguvu ya ajabu sana
Mbowe amekamata akila za wasaidizi wake aseh.. hivi ktk akili ya kawaida kabisa inawezekanaje kwa miaka yote hii miwili CHADEMA ishutumu kuwa barua ya akina Halima ni feki lakini hawajapeleka taarifa ktk vyombo vya sheria

Maana forgery ni jinai... kuna kitu wanakijua; huenda barua ya akina mdee ni OG
 
Kwa mada za kinafiki huwa unaongoza sana. Ukiwa mnafiki hata uongee ukweli hakuna atakae kuamini. Punguza unafiki kaka hakuna asiye jua kuwa wameingia bungeni kinyemela, hvyo kinachofanyika saa hivi ni kutumia ubabe ili waendelee kubaki bungeni na hakuna atakaeshangaa mahakama ikiruhusu waendelee kuwa wabunge.
Mwisho wa unafiki ni kifo.
 
Kwanza inabidi tujue,aliyefoji barua kutoka Chadema kwenda NEC ni. Nani?,hili swali Chadema Bado hamjajibu.

Halijajibiwa kwa sababu ni swali ndezi. Unakumbuka Spika Ndugai na habari ya “Bunge halipokei vipeperushi”? Hicho kipeperushi kilikuwa ni barua ya katibu mkuu Mnyika akiyaka kujua na kupatiwa nakala ya Barua ya Chadema kwa NEC ikiwatambulisha wanachama hao kama wabunge viti maalumu.

Kwangu mimi nisiye hata mwanacha wa chama chochote cha siasa ni kujua tu kama taratibu zilifuatwa. Na kwa kuwa swala liko Mahakamani, Chadema watapata nafasi ya kujua ukweli huo. Jambo hili liko sehemu sahihi.
 
Wanabodi,.
  1. A way forward ni Mahakama ambayo ni a proper court itayapindua maamuzi ya Kikangroo ya CC ya Chadema yaliyobarikiwa na Baraza Kuu na kuamuru a due process ifanyike.
Paskali
Kwa hii hukumu ya Leo, nimepigwa bonge la surprise!
Wanabodi.

Sasa kwenye hili la Halima Mdee, Chadema, imejikwaa tena pale pale ilipojikwa kwenye issue ya kumtumua Zitto, safari hii Chadema bado haijaanguka na bakora za karma bado hazijaanza kutembea.

Kwa vile Zitto alikimbilia mahakamani akashindwa, Chadema wakashangilia ushindi huo, nashukuru mimi niliwaeleza humu kuwaelimisha kuhusu karma, na nikawaambia the consequences ya matendo, hivyo kwenye hili la Halima Mdee, nae amekimbilia mahakamani, ikitokea na Halima akashindwa kama alivyoshindwa Zitto, hivyo Chadema wakafanikiwa kuwatimua rasmi hao wanaowaita Covid 19, naomba mimi niwe mtu wa kwanza kuwaambia the consequences will be very devastating, kwenye karma ya Zitto, angalau someone survived miraculously, I'm not sure kwenye hili, if anyone will!. Kwa kuchelea this, nimejitolea kuishauri Chadema the right thing to do na kuepuka adhabu ya karma.

Paskali.
Wanabodi,
Baadhi ya mabandiko yangu sio mabandiko ya average mind ni mabandiko ya deep thinkers, moja ya mabandiko hayo ni Bandiko hili Ushauri wa Bure: Ukijikwaa ukaanguka, usiangalie tu pale ulipoangukia, bali angalia pale ulipojikwaa

Maadam Mahakama Kuu imetupilia mbali kesi ya kina Mdee, hiki nilicho andika kwenye bandiko hili, sasa ndio kinakwenda kutokea!. It will be very devastating and disturbing!.

Wale ambao sio average mind, wana uwezo to connect the dots, baada ya Chadema kumtimua Zitto kwa dhulma, there are bad things that happed to Chadema na wahusika wa kadhia ya Zitto, but no one connected the dots and linked the consequences, hivyo sasa baada ya Chadema kuwatimua hawa Wabunge 19, naombeni sasa watch closely what will happen to Chadema and the main players and connect the dots.

God forbids!.
P.
 
Nyakati hubadilika usiishe kwa
Kwa hii hukumu ya Leo, nimepigwa bonge la surprise!

Wanabodi,
Baadhi ya mabandiko yangu sio mabandiko ya average mind ni mabandiko ya deep thinkers, moja ya mabandiko hayo ni Bandiko hili Ushauri wa Bure: Ukijikwaa ukaanguka, usiangalie tu pale ulipoangukia, bali angalia pale ulipojikwaa

Maadam Mahakama Kuu imetupilia mbali kesi ya kina Mdee, hiki nilicho andika kwenye bandiko hili, sasa ndio kinakwenda kutokea!. It will be very devastating and disturbing!.

Wale ambao sio average mind, wana uwezo to connect the dots, baada ya Chadema kumtimua Zitto kwa dhulma, there are bad things that happed to Chadema na wahusika wa kadhia ya Zitto, but no one connected the dots and linked the consequences, hivyo sasa baada ya Chadema kuwatimua hawa Wabunge 19, naombeni sasa watch closely what will happen to Chadema and the main players and

Kwa hii hukumu ya Leo, nimepigwa bonge la surprise!

Wanabodi,
Baadhi ya mabandiko yangu sio mabandiko ya average mind ni mabandiko ya deep thinkers, moja ya mabandiko hayo ni Bandiko hili Ushauri wa Bure: Ukijikwaa ukaanguka, usiangalie tu pale ulipoangukia, bali angalia pale ulipojikwaa

Maadam Mahakama Kuu imetupilia mbali kesi ya kina Mdee, hiki nilicho andika kwenye bandiko hili, sasa ndio kinakwenda kutokea!. It will be very devastating and disturbing!.

Wale ambao sio average mind, wana uwezo to connect the dots, baada ya Chadema kumtimua Zitto kwa dhulma, there are bad things that happed to Chadema na wahusika wa kadhia ya Zitto, but no one connected the dots and linked the consequences, hivyo sasa baada ya Chadema kuwatimua hawa Wabunge 19, naombeni sasa watch closely what will happen to Chadema and the main players and connect the dots.

God forbids!.
P.

Bro Mayalla, najua bandiko lako uliandika kwa marejeo au trend zilizopita au niseme kwa uzoefu.
Lskini nakukumbusha kuwa kila zama zina mambo mapya, shetani wa jana sio wa leo.

Siamini kuwa hawa akina dada wanaweza kuwa na nguvu ya kyisumbua cdm kwani anguko lao lilikuwa wazi hivyo hata jamii haiwezi kuwatetea isipokua mjinga pekee.

Pili..aliwahi kusema Baginza kuwa sumu haiui mara mbili.
Akatolea mfano kuwa mtu aliyetoka ccm kuja upinzani aweza kuisumbua ccm lkn akirudi ccm makali yake yatakuwa yamekufa hivyo ni sawa na sumu isiyoua.

Mdee amejiua kisiasa kijinga sana, kila mtu anajua fika kuwa kwa mlango wa nyuma walirubuniwa na kula kitu kidogo wasaliti chama.

Kwa muktadha huu usilinganishe kuondolewa kwa Zitto na Halima.
Mazingira ya Zitto ya kutokuwa wazi yalimbeba lkn sio hawa.

Usiishi kwa jana kesho itakushangaza kama ulivyoshangaa leo.
 
Pasko chutama tu
 
Halima sijui amemlipa bilioni ngapi huyu pasko hadi kujitoa ufahamu kiasi hiki
 
Kuna mambo ambayo leo hii watu hawaelewi mtu X mwenye uthibitisho wote alini PM tena bado yuko CDM kuwa mwenye kujua Suala hili kote ni Mbowe ndo maana akawa anahangaika sana akina Mdee wajiondoe wenyewe kabla ya kamati kuu kulinda heshima yake!

Kwa logic tu Kwanini anamtuma mtu mpaka amfuate Nairobi kwamba jitoe, baada ya kugundua kwamba mambo yamekuwa mazito akaona credibility yake inaendelea kushuka!

Mbowe anasema ya Kwenda Nairobi na Gerezani tu, Mbona ya hotelini hajayasema?

Mbona wakati wa msiba wa familia Kwa mbowe Matiko, Mdee Na Bulaya walikaa masaa mawili wakimwambia Heche awape Nafasi kidogo hayasemwi? Kama lilikuwa Suala la afya Kwanini Heche aondolewe!

Mbona hawasemi kwamba Mbowe katembelewa kila Jumapili kule Gerezani ? Na maongezi yamekuwa jinsi ya kuongelea haya?

Emanuel Mugaya ananielewa Kwa nayo andika hapa!

Mdee inaonekana ana heshima sana Kwa mbowe tena sana Mbona mazungumzo ya kabla ya Mkutano mkuu Mbowe hayagusii?

Mchezo mchezo wenye uhuni

Wanadanganyana tu na wadanganyane wao kila siku itakuwa Chadema ndo ya Mahakamani wakati Vyama vinginevyo vinajijenga!!!

Chama kina ka Uhuni fulani kwenye maamuzi ni maigizo

Unaweza fika hatua ukaona bora ubaki bila Chama Au ujishkize CCM tu

Britanicca
Umetia aibu sana !
 
Back
Top Bottom