Spika fuata sheria kwenye suala la Halima Mdee na wenzake

Spika fuata sheria kwenye suala la Halima Mdee na wenzake

Ni wapi kwenye Katiba pameandikwa kuwa Mwanachama akifutiwa uanachama anaweza kwenda Mahakamani.

Tatizo Sisi wabongo ujuaji ni mwingi Sana aisee, sasa mpaka mahakama imepokea unawaona wao wote ni mazezeta Ila ww ndio unajua zaidi?
 
Nchi hii tuna Katiba inayotuongoza, tuna sheria, kanuni na taratibu mbalimbali pia zinatuongoza.

Kwa suala la Wabunge wanawake kutoka CHADEMA ninakuomba kubali yaishe tuendelee a mengine. Uwe kama Pilato.

Wewe huna kosa bali unatekeleza na kufuata sheria. Nisingetumaini pia kesho waingie mjengoni.

Tenda HAKI.
Omera Jakoryo tich tek e pinyni.

Hivi awamu hii Kigogo amedhibitiwa kuliko awamu ya 5?
 
Nchi hii tuna Katiba inayotuongoza, tuna sheria, kanuni na taratibu mbalimbali pia zinatuongoza.

Kwa suala la Wabunge wanawake kutoka CHADEMA ninakuomba kubali yaishe tuendelee a mengine. Uwe kama Pilato.

Wewe huna kosa bali unatekeleza na kufuata sheria. Nisingetumaini pia kesho waingie mjengoni.

Tenda HAKI.
Dunia hii achana nayo.

Mbowe alienda kutafuta suluhu na dola Magogoni.

Mdee et al nao wanaikimbilia dola (mfumo) hiyo hiyo iwasalimishe.

Zamani walipokuwa na meno waliing'ata sn dola.

Leo Baniani mbaya kiatu chake dawa.

Wananchi bora tuhangaikie ugali wetu kuliko wanasiasa (wapinzani na watawala) wanaojali maslahi yao pekee.

NB.
If you can't fight them join them.
 
Nikweli usiingilie mahakama.
Je shitaka litakuwa LA
1.Kuvuliwa uanachama?
2.Kuvuliwa ubunge?
Wasipokuwa makini zitazaliwa kesi nyingi zakijinga halafu aibu itabaki kwa mkuu wa Nchi.Subirini
Nalo neno hilo!

Court inaweza kuwarudishia ubunge lkn chama kikawavua uanachama what next?

Mchawi wa yote haya ni Katiba ya JMT.
 
Watu ambao wanataka kuwe na katiba mpya ili kupunguza mamlaka ya kundi dogo kutoa maamuzi ya Ki Mungu dhidi ya watu waliochini Yao . Ilitakiwa wawe mfano kuheshimu haki na Uhuru wa kila mtu.
 
Back
Top Bottom