Ukiwa na mawazo ya ushabiki utaishi kishabiki.Yes then uone kama utaendelea kushabikia chadema, hautoamini utakachokisikia
Ukiishi kwenye ukweli kiza kitatawala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa na mawazo ya ushabiki utaishi kishabiki.Yes then uone kama utaendelea kushabikia chadema, hautoamini utakachokisikia
Ni wapi kwenye Katiba pameandikwa kuwa Mwanachama akifutiwa uanachama anaweza kwenda Mahakamani.Sheria inasema usingilie mahakama!
Ni wapi kwenye Katiba pameandikwa kuwa Mwanachama akifutiwa uanachama anaweza kwenda Mahakamani.
Alikuwa mdanganyifu kwa watoto wa kitanzania kwenye masuala ya Sheria. Hamna kitu kichwani.Huwezi kumfunza spika sheria wewe,huyo ni gwiji mwalimu wa sheria
Omera Jakoryo tich tek e pinyni.Nchi hii tuna Katiba inayotuongoza, tuna sheria, kanuni na taratibu mbalimbali pia zinatuongoza.
Kwa suala la Wabunge wanawake kutoka CHADEMA ninakuomba kubali yaishe tuendelee a mengine. Uwe kama Pilato.
Wewe huna kosa bali unatekeleza na kufuata sheria. Nisingetumaini pia kesho waingie mjengoni.
Tenda HAKI.
Dunia hii achana nayo.Nchi hii tuna Katiba inayotuongoza, tuna sheria, kanuni na taratibu mbalimbali pia zinatuongoza.
Kwa suala la Wabunge wanawake kutoka CHADEMA ninakuomba kubali yaishe tuendelee a mengine. Uwe kama Pilato.
Wewe huna kosa bali unatekeleza na kufuata sheria. Nisingetumaini pia kesho waingie mjengoni.
Tenda HAKI.
Nalo neno hilo!Nikweli usiingilie mahakama.
Je shitaka litakuwa LA
1.Kuvuliwa uanachama?
2.Kuvuliwa ubunge?
Wasipokuwa makini zitazaliwa kesi nyingi zakijinga halafu aibu itabaki kwa mkuu wa Nchi.Subirini
Kigogo kateuliwa, kaulamba. Ana majukumu mengi.