Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Job ungesubiri mwisho wa mwezi tupate kwanza mshahara ndio uandike barua tulewe tukeshe bar.Umetukosea Sana sisi walevi

 
Hii nafasi kiutaratibu Tulia anaikaimu au mchakato wa upigaji kura ya kumtafuta mpya
 
Kuna mambo ya kando hatuyajui, lakin ukichekecha hapo utajua kuna viongoz wengi kwa sasa hawana raha na huu uongozi mpya
Kama hawana raha na uongozi huu basi walikuwa na raha na uongozi uliopita ambao Mawaziri waliitwa "Wapumbavu".

Siasa ni kitu kibaya sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa wewe ungefanyaje ndugu ukizingatia ile pressure kubwa kutoka kila sehemu na wew uko peke yako.
Si walikuwa wanasema Kuna watu nyuma yake, na Wana nguvu kubwa na ndiyo wenye nchi? Alishindwa hata kujitokeza mmoja kumtetea bwana Job?
 
Wahuni wanaweza kua wamemwandikia hii barua!!! ?, Wanamsubiria ajitokeze kukanusha ili wa ruke naye!!? Nawaza tuu!!
 
Hata kama unajiuzulu ndo uandike barua kwa herufi kubwa huyu jamaa ana dharau sanaa 😮😮😂
 
Nimepitwaje na hii taarifa ya kimbunga Jobo mpaka naiona mida hii aiseee,
Nilikua out of mass media Leo Jamani
Daaaa
Uwiiiiiiiiiiiiiii majirani moto hukuuuuuu
🔥 🔥 🔥
Kimbunga Jobo Mzee wa Galilaya kabwaga manyanga eboooo!
Mbona siamini amini!
Alaaaaa mr dhaifu ndio basi Tena!
😂😂😂😂😂😂😂
 
Hata kama unajiuzulu ndo uandike barua kwa herufi kubwa huyu jamaa ana dharau sanaa [emoji50][emoji50][emoji23]
Mna matatizo ya macho [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona umefurahi sana mkuu
 
Na ole wao tuchukue nchi na hii hii katiba wanayokata kyibadilisha
Kwa katiba hii ni ngumu mnoo wapinzani kupewa nchi! Watakuwa wanawatipia viti vichache vya ubunge kubalance mambo! Na mbaya zaidi viongozi wenyewe wa Upinzani wengi ni CCM/TISS, wamewekwa hapo kuwazuga mabeberu tu
 
Kila mtu kuharibifu nchi hii hakuna mwenye nafuu, ni vile hao wengine hawajaonja utamu wa keki.
 
Lilikuwa ni suala la muda.

Asipojiuzulu watamuuzulisha kilazima.
Hata hii ilikuwa ya lazima(behind the curtain) lakini mnatiwa ndimu kana kwamba amejiuzulu kwa hiyari yake mwenyewe.
 
Alishabikia kumwondoa CAG kinyume na taratibu na yeye ameondoka kwa utaratibu huo huo.
Ukivunja katiba,katiba hiyo hiyo itazunguka ikuvunje wewe.
Katiba ni sheria mama.
Tunataka katiba iliyokuwa Bora na sii hii waliyoweza kuichezea akina supika, hadi ilivyowageuka kwa kupitiliza, tunaitaka katiba mpya ya wanachi.Ambayo ndani yake tutaipata time huru ya uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…