Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fikiria mtu huyu ni mbunge wa kitambo sana,naibu spika wa awamu iliyoingia mkataba. Mpaka hajui chochote kuhusu mkataba anaongea mambo kihisia. Wapinzani wakisema mikataba mikubwa iletwe bungeni ndio wakwanza kukebehiSupika mbov kuwai tokea Tanganyika
ukiwekewa hapa unaweza kuusoma au unajua ni hadith ya juma na rosa za std iiAlisema alikutana na wachina na mkataba aliusoma ni wa faida kwetu?Sasa anageuka tena?Ifike mahali mikataba iwe wazi na wananchi tuweze kusoma ili tuchambue wenyewe mbichi na mbivu.
Juma na rosa ndo nani ? Stn two ya miaka ipi? Ofcourse nausoma.ukiwekewa hapa unaweza kuusoma au unajua ni hadith ya juma na rosa za std ii
Faida gani alizoangalia wakati tayari tuna bandari kubwa 3 yaani Dsm, Tanga na Mtwara?
Spika unaongeaje bila utafiti wala data?!!!
Kwa sasa anadai mradi ni mzuri!! Can you imagine!! Jicho hilo hilo moja linatoa maji matamu na machungu!! Ole kwa Taifa ambalo viongozi wake ni kigeugeu!! Tatizo ni kwamba hatuwezi kumfufua!! Sijui kama unawasikia huko uliko! Wamekugeuka fasta!!!!Spika Ndugai, ni upi mtazamo wake kwa sasa?
Kabadili msimamo baada ya Jiwe kufaJpm akibadirisha msimamo Na yeye anabadilika[emoji16]
Na hawasomi sababu ya rushwa, ghafla hawana uzalendo na akili yao imejaa 10% tu!Hii inaonyesha viongozi wetu wengi hawasomagi mikataba kuanzia mwanzo hadi mwisho ndio maana mara nyingi huwa tunaingizwa kwenye mikataba ya hasara tu.
Mpongeze Ndugai tena basiNampongeza. Huo ndiyo utu uzima. Kukubali ulipokosea na kusema ukweli.
Ndugai kapiga U-turn, unalizungumziaje hili tena?Zito na Chadema walikua wanalilia huu mradi, aibu sana.
Ndugai kapiga U-turn, unalizungumziaje hili tena?
Akikujibu niite Mkuu!Ndugai kapiga U-turn, unalizungumziaje hili tena?
Usikute speaker kaahidiwa fungu lake anapambana lengo litimie.Hatuwezi kuwa na mradi wa bandari kubwa Bagamoyo na Zanzibar, miradi hii itakinzana.
Bara kuna Bandari Dar tayari, iimarishwe.
Bagamoyo ilikuwa ni White Elephant project.