Spika Job Ndugai: Kutokana na masharti ya Mradi wa Bandari Bagamoyo, ni sahihi Serikali kuusitisha

Spika Job Ndugai: Kutokana na masharti ya Mradi wa Bandari Bagamoyo, ni sahihi Serikali kuusitisha

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hawa ndio viongozi tunao aminishwa wataipeleka Tanzania uchumi wa kati!

Shame on you Ndugai
 
Kabla ya kukikebehi hicho kinyago cha hapo ddm naomba mwenye pdf ya mkataba kati ya china na Tanzania kuhusiana na bandari ya bagamoyo
 
Supika mbov kuwai tokea Tanganyika
Fikiria mtu huyu ni mbunge wa kitambo sana,naibu spika wa awamu iliyoingia mkataba. Mpaka hajui chochote kuhusu mkataba anaongea mambo kihisia. Wapinzani wakisema mikataba mikubwa iletwe bungeni ndio wakwanza kukebehi
 
Alisema alikutana na wachina na mkataba aliusoma ni wa faida kwetu?Sasa anageuka tena?Ifike mahali mikataba iwe wazi na wananchi tuweze kusoma ili tuchambue wenyewe mbichi na mbivu.
ukiwekewa hapa unaweza kuusoma au unajua ni hadith ya juma na rosa za std ii
 
Faida gani alizoangalia wakati tayari tuna bandari kubwa 3 yaani Dsm, Tanga na Mtwara?

Spika unaongeaje bila utafiti wala data?!!!

Yaani hata kama ni wa kijijini ambaye hakwenda shule na anataka kuuza mali yake iwe shamba, mahindi, tumbako, dhahabu lazima kuangalia faida na hasara kabla ya kuuza. Waweza uza mahindi yako yote baadaye unaenda kuishia kununua tena mahindi hayo hayo baada ya miezi miwili ili asife njaaa! Kiongozi yeyote mzuri ni yule anayeangalia faida na hasara kabla ya kuchukua uamuzi wowote. Je yeye alishaangalia hasara na faida ya kuwa na Bandari ya Bagamoyo kwa mkataba uliyopitishwa? Hamna tofauti ya wale waliopitisha mikataba ya madini, nishati, uuzwaji wa mashirika ya umma hasa mawasiliano na viwanda! Sijui wasomi wetu wamelishwa nini baada ya kihitimu vyuo vikuu, kwani watu kama Mhe Joseph Kasheku(Msukuma) mhitimu wa darasa la saba(Grade seven) anawaumbua!
 
Hii inaonyesha viongozi wetu wengi hawasomagi mikataba kuanzia mwanzo hadi mwisho ndio maana mara nyingi huwa tunaingizwa kwenye mikataba ya hasara tu.
Na hawasomi sababu ya rushwa, ghafla hawana uzalendo na akili yao imejaa 10% tu!
Ni uozo kuanzia juu mpaka chini SERIKALINI, kazi ipo..
 
Hatuwezi kuwa na mradi wa bandari kubwa Bagamoyo na Zanzibar, miradi hii itakinzana.

Bara kuna Bandari Dar tayari, iimarishwe.

Bagamoyo ilikuwa ni White Elephant project.
 
Hatuwezi kuwa na mradi wa bandari kubwa Bagamoyo na Zanzibar, miradi hii itakinzana.

Bara kuna Bandari Dar tayari, iimarishwe.

Bagamoyo ilikuwa ni White Elephant project.
Usikute speaker kaahidiwa fungu lake anapambana lengo litimie.
 
Back
Top Bottom