Spika kujifanya mpinzani ni vichekesho

Spika kujifanya mpinzani ni vichekesho

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Spika Ndugai sasa baada ya kuona bunge limekuwa na mazuzu amekuwa kama kiongozi wa wapinzani bungeni. Kila topic inaingilia na kusema mara kwa mara nipo disappointed kwa mawaziri.

Huu ndiyo ubaya wa kuwa na bunge feki kiasi kwamba ilibidi anunue wabunge waliofukuzwa chama.

Hii haisaidii nchi tuache uchaguzi uwe huru
 
Psychological relief of a kind, ameshaona hamna mtu anayejielewa mwenye habari na bunge lao la kisanii ndio maana sasa ameamua kujitutumua, but I can assure him one thing; still hakuna mwenye habari na hilo bunge lao, labda waamue kuwa wacheza ngoma bungeni ndio tutawafuatilia nani ana kipaji zaidi ya wenzie.
 
Spika Ndugai sasa baada ya kuona bunge limekuwa na mazuzu amekuwa kama kiongozi wa wapinzani bungeni. Kila topic inaingilia na kusema mara kwa mara nipo disappointed kwa mawaziri.

Huu ndiyo ubaya wa kuwa na bunge feki kiasi kwamba ilibidi anunue wabunge waliofukuzwa chama.

Hii haisaidii nchi tuache uchaguzi uwe huru
Hatuna Bunge pale, kuna kusanyiko la mazuzu tu
 
Spika Ndugai sasa baada ya kuona bunge limekuwa na mazuzu amekuwa kama kiongozi wa wapinzani bungeni. Kila topic inaingilia na kusema mara kwa mara nipo disappointed kwa mawaziri.

Huu ndiyo ubaya wa kuwa na bunge feki kiasi kwamba ilibidi anunue wabunge waliofukuzwa chama.

Hii haisaidii nchi tuache uchaguzi uwe huru
Anaumwa huyo mrudisheni clinic
 
Psychological relief of a kind, ameshaona hamna mtu anayejielewa mwenye habari na bunge lao la kisanii ndio maana sasa ameamua kujitutumua but I can assure him one thing, still hakuna mwenye habari na hilo bunge lao labda waamue kuwa wacheza ngoma bungeni ndio tutawafuatilia nani ana kipaji zaidi ya wenzie.
Mbona limejaa maprofessors, doctors, engineers na wasomi wengine kibao? Sema tu hawana nia ya kweli ya kuisaidia nchi kusonga mbele. Siamini kama ni mazuzu nadhani wapo mjengoni kwa faida yao tu.
 
Kwa bahati mbaya nisikia sauti ya kiongozi wa Covid-19, nahisi nina allege nayo, ile mikwaruzo nahisi anayeitoa alishanichafua nyongo!
 
Spika Ndugai sasa baada ya kuona bunge limekuwa na mazuzu amekuwa kama kiongozi wa wapinzani bungeni. Kila topic inaingilia na kusema mara kwa mara nipo disappointed kwa mawaziri.

Huu ndiyo ubaya wa kuwa na bunge feki kiasi kwamba ilibidi anunue wabunge waliofukuzwa chama.

Hii haisaidii nchi tuache uchaguzi uwe huru
SPIKA ndio Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani BUNGENI
 
Spika Ndugai sasa baada ya kuona bunge limekuwa na mazuzu amekuwa kama kiongozi wa wapinzani bungeni. Kila topic inaingilia na kusema mara kwa mara nipo disappointed kwa mawaziri.

Huu ndiyo ubaya wa kuwa na bunge feki kiasi kwamba ilibidi anunue wabunge waliofukuzwa chama.

Hii haisaidii nchi tuache uchaguzi uwe huru
Uzi tayari
 
Mbona limejaa maprofessors, doctors, engineers na wasomi wengine kibao? Sema tu hawana nia ya kweli ya kuisaidia nchi kusonga mbele. Siamini kama ni mazuzu nadhani wapo mjengoni kwa faida yao tu.
Udoctor na uprofesa huu wa wabongo ambao thesis zao zimejaa nukuu za kazi za watu wengine, hauna uwezo wa kuondoa uzuzu wa wahusika.

Madokta na maprofesa halisi, hawawezi kuingia kwenye hizi siasa za kijuha za CCM. Wasomi wa kweli huwa principled, huwezi kuwazungusha na kuwachezesha kama walivyokuwa wakichezeshwa hawa akina Kabudi, wanaoambiwa wapumb.avu na wanasiasa, halafu wanakenua meno ("msiwaone hivi hawa, Kabudi na Mpango, huwa nawapigia simu mpaka saa nane usiku, wanakula pumb.avu nyingi sana" - Magufuli).

Hawa ni madokta na maprofesa njaa, ambao uzuzu wao hauna tofauti yoyote na uzuzu wa watu kama Kibajaji au Msukuma. Tofauti pekee hawa wengine ni mazuzu wanaoweza kuongea Kiingereza, na hawa wengine na mazuzu mbumbumbu.
 
Udoctor na uprofesa huu wa wabongo ambao thesis zao zimejaa nukuu za kazi za watu wengine, hauna uwezo wa kuondoa uzuzu wa wahusika.
Hao wazee ni wapuuzi sn hata wewe ungewatukana tu jiwe alikuwa sahihi kuwatukana
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Back
Top Bottom