Spika kujifanya mpinzani ni vichekesho

Spika kujifanya mpinzani ni vichekesho

Psychological relief of a kind, ameshaona hamna mtu anayejielewa mwenye habari na bunge lao la kisanii ndio maana sasa ameamua kujitutumua but I can assure him one thing, still hakuna mwenye habari na hilo bunge lao labda waamue kuwa wacheza ngoma bungeni ndio tutawafuatilia nani ana kipaji zaidi ya wenzie.
Daaaa
 
Ndiyo waliyataka haya, kwamba wapinzani walikuwa wanakwamisha maendeleo haya sasa.
 
Mbona limejaa maprofessors, doctors, engineers na wasomi wengine kibao? Sema tu hawana nia ya kweli ya kuisaidia nchi kusonga mbele. Siamini kama ni mazuzu nadhani wapo mjengoni kwa faida yao tu.
Sasa huo ndio uzuzu wenyewe sasa....
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
🤡🤡🤡
EW1pj.jpg
 
Spika Ndugai sasa baada ya kuona bunge limekuwa na mazuzu amekuwa kama kiongozi wa wapinzani bungeni. Kila topic inaingilia na kusema mara kwa mara nipo disappointed kwa mawaziri.

Huu ndiyo ubaya wa kuwa na bunge feki kiasi kwamba ilibidi anunue wabunge waliofukuzwa chama.

Hii haisaidii nchi tuache uchaguzi uwe huru
Nijuavyo mimi hajapona vizuri ama ni side effect za Yale madawa mengi mengi aliyobugia
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Hahaaaa Jobo anatafuta kila njia arudi kwenye mstari lakini wapiiiii, kimsingi watu wamempuuza na yeye anajua ndiomaana anahangaika kama ngedere kwenye miti, mara karukia huku mara kule
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Hivi wangefanya kuwapa upinzani viti hata kama vile vya bunge lililopita, wangepungukiwa nini? Yaani wangehakikisha wabunge wa upinzani hawavuki theluthi moja ya viti vyote?
 
Spika Ndugai sasa baada ya kuona bunge limekuwa na mazuzu amekuwa kama kiongozi wa wapinzani bungeni. Kila topic inaingilia na kusema mara kwa mara nipo disappointed kwa mawaziri.

Huu ndiyo ubaya wa kuwa na bunge feki kiasi kwamba ilibidi anunue wabunge waliofukuzwa chama.

Hii haisaidii nchi tuache uchaguzi uwe huru
Watazaliwa wapinzani miongoni mwao, na watapingana wao kwa wao, ni suala la muda tu
 
Mnanichanganya
Zuzu ni yupi Mbunge anayelipwa kwa tozo za wanyonge au mnyonge anayewalipa
 
Sijui nilifatilia lini hilo bunge lao!! Mazuzu
 
Ameona bunge lilivyo kibogoyo, hata watu hawana habari nalo teena.
 
Spika Ndugai sasa baada ya kuona bunge limekuwa na mazuzu amekuwa kama kiongozi wa wapinzani bungeni. Kila topic inaingilia na kusema mara kwa mara nipo disappointed kwa mawaziri.

Huu ndiyo ubaya wa kuwa na bunge feki kiasi kwamba ilibidi anunue wabunge waliofukuzwa chama.

Hii haisaidii nchi tuache uchaguzi uwe huru
Noma kweli !
 
Kipindi kile alikuwa msemaji wa serikali kwenye swala la tozo, hadi akatutolea povu akitaka tupendekeze vyanzo mbadala vya mapato, leo tayari ameshakuwa msemaji wa kambi ya upinzani bungeni, bwana chupikaaaaaa............
 
Mbona limejaa maprofessors, doctors, engineers na wasomi wengine kibao? Sema tu hawana nia ya kweli ya kuisaidia nchi kusonga mbele. Siamini kama ni mazuzu nadhani wapo mjengoni kwa faida yao tu.
Unaweza kuwa una degree nyingi tu lakini ukawa zuzu. Kwani kuna aliyempinga Msukuma alipowakemea wasomi Bungeni? Si walikuwepo maprofesa, mbona walinyamaza kama ishara ya kukubaliana nae
 
Unaweza kuwa una degree nyingi tu lakini ukawa zuzu. Kwani kuna aliyempinaga Msukuma alipowakemea wasomi Bungeni? Si walikuwepo maprofesa, mbona walinyamaza kama ishara ya kukubaliana nae
Na Spika hii hii mbovu ikamuunga mkono.
 
Back
Top Bottom