Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Hao wabunge au mazuzu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Profesa wa ukweli pale Ni Nani?Mbona limejaa maprofessors, doctors, engineers na wasomi wengine kibao? Sema tu hawana nia ya kweli ya kuisaidia nchi kusonga mbele. Siamini kama ni mazuzu nadhani wapo mjengoni kwa faida yao tu.
Kuwepo mjengoni kwa faida yao ndio uzuzu wenyewe huo aliosema Prof AssadMbona limejaa maprofessors, doctors, engineers na wasomi wengine kibao? Sema tu hawana nia ya kweli ya kuisaidia nchi kusonga mbele. Siamini kama ni mazuzu nadhani wapo mjengoni kwa faida yao tu.
Halafu kuna watu wanamuita shujaa wa Africa mtu aliebariki huu upuuzi wa bunge zuzuHii nayo ni legasi ya jiwe
Ndio uzuzu wenyewe..mtu msomi hawezi kukubali ujinga unaoendelea Bungeni..Kama spika alivyouliza wananchi watoe njia mbadala ya ukusanyaji Kodi.. seriouslyMbona limejaa maprofessors, doctors, engineers na wasomi wengine kibao? Sema tu hawana nia ya kweli ya kuisaidia nchi kusonga mbele. Siamini kama ni mazuzu nadhani wapo mjengoni kwa faida yao tu.
Hahahaaa[emoji1782][emoji1782][emoji1782]
View attachment 1998070
Anapita Hapa Anasonya Tu
Mbona limejaa maprofessors, doctors, engineers na wasomi wengine kibao? Sema tu hawana nia ya kweli ya kuisaidia nchi kusonga mbele. Siamini kama ni mazuzu nadhani wapo mjengoni kwa faida yao tu.
Udoctor na uprofesa huu wa wabongo ambao thesis zao zimejaa nukuu za kazi za watu wengine, hauna uwezo wa kuondoa uzuzu wa wahusika.
Madokta na maprofesa halisi, hawawezi kuingia kwenye hizi siasa za kijuha za CCM. Wasomi wa kweli huwa principled, huwezi kuwazungusha na kuwachezesha kama walivyokuwa wakichezeshwa hawa akina Kabudi, wanaoambiwa wapumb.avu na wanasiasa, halafu wanakenua meno ("msiwaone hivi hawa, Kabudi na Mpango, huwa nawapigia simu mpaka saa nane usiku, wanakula pumb.avu nyingi sana" - Magufuli).
Hawa ni madokta na maprofesa njaa, ambao uzuzu wao hauna tofauti yoyote na uzuzu wa watu kama Kibajaji au Msukuma. Tofauti pekee hawa wengine ni mazuzu wanaoweza kuongea Kiingereza, na hawa wengine na mazuzu mbumbumbu.
Ndiyo Ukweli WenyeweHahaaaa
You nailed it, perfectly explained. Mazuzu kama mazuzu, nothing less nothing more.Udoctor na uprofesa huu wa wabongo ambao thesis zao zimejaa nukuu za kazi za watu wengine, hauna uwezo wa kuondoa uzuzu wa wahusika.
Madokta na maprofesa halisi, hawawezi kuingia kwenye hizi siasa za kijuha za CCM. Wasomi wa kweli huwa principled, huwezi kuwazungusha na kuwachezesha kama walivyokuwa wakichezeshwa hawa akina Kabudi, wanaoambiwa wapumb.avu na wanasiasa, halafu wanakenua meno ("msiwaone hivi hawa, Kabudi na Mpango, huwa nawapigia simu mpaka saa nane usiku, wanakula pumb.avu nyingi sana" - Magufuli).
Hawa ni madokta na maprofesa njaa, ambao uzuzu wao hauna tofauti yoyote na uzuzu wa watu kama Kibajaji au Msukuma. Tofauti pekee hawa wengine ni mazuzu wanaoweza kuongea Kiingereza, na hawa wengine na mazuzu mbumbumbu.
Mia kwa mia.Hii nayo ni legasi ya jiwe