Spika kujifanya mpinzani ni vichekesho

Daaaa
 
Ndiyo waliyataka haya, kwamba wapinzani walikuwa wanakwamisha maendeleo haya sasa.
 
Mbona limejaa maprofessors, doctors, engineers na wasomi wengine kibao? Sema tu hawana nia ya kweli ya kuisaidia nchi kusonga mbele. Siamini kama ni mazuzu nadhani wapo mjengoni kwa faida yao tu.
Sasa huo ndio uzuzu wenyewe sasa....
 
Reactions: Qwy
Nijuavyo mimi hajapona vizuri ama ni side effect za Yale madawa mengi mengi aliyobugia
 
Reactions: Qwy
Hahaaaa Jobo anatafuta kila njia arudi kwenye mstari lakini wapiiiii, kimsingi watu wamempuuza na yeye anajua ndiomaana anahangaika kama ngedere kwenye miti, mara karukia huku mara kule
 
Reactions: Qwy
Hivi wangefanya kuwapa upinzani viti hata kama vile vya bunge lililopita, wangepungukiwa nini? Yaani wangehakikisha wabunge wa upinzani hawavuki theluthi moja ya viti vyote?
 
Watazaliwa wapinzani miongoni mwao, na watapingana wao kwa wao, ni suala la muda tu
 
Mnanichanganya
Zuzu ni yupi Mbunge anayelipwa kwa tozo za wanyonge au mnyonge anayewalipa
 
Sijui nilifatilia lini hilo bunge lao!! Mazuzu
 
Ameona bunge lilivyo kibogoyo, hata watu hawana habari nalo teena.
 
Noma kweli !
 
Kipindi kile alikuwa msemaji wa serikali kwenye swala la tozo, hadi akatutolea povu akitaka tupendekeze vyanzo mbadala vya mapato, leo tayari ameshakuwa msemaji wa kambi ya upinzani bungeni, bwana chupikaaaaaa............
 
Mbona limejaa maprofessors, doctors, engineers na wasomi wengine kibao? Sema tu hawana nia ya kweli ya kuisaidia nchi kusonga mbele. Siamini kama ni mazuzu nadhani wapo mjengoni kwa faida yao tu.
Unaweza kuwa una degree nyingi tu lakini ukawa zuzu. Kwani kuna aliyempinga Msukuma alipowakemea wasomi Bungeni? Si walikuwepo maprofesa, mbona walinyamaza kama ishara ya kukubaliana nae
 
Unaweza kuwa una degree nyingi tu lakini ukawa zuzu. Kwani kuna aliyempinaga Msukuma alipowakemea wasomi Bungeni? Si walikuwepo maprofesa, mbona walinyamaza kama ishara ya kukubaliana nae
Na Spika hii hii mbovu ikamuunga mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…