Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Kundi lipi lililofeliAnajurudi baada kundi lao kufeli
Analo kichwani mwake huyo looserKundi lipi lililofeli
SahihiAnalo kichwani mwake huyo looser
Hiyo video sio ya leo, tizama ni kipindi January akiwa waziri wa mazingira. January ni mstaarab sanaBaada ya muda mrefu bila January kupigiwa pande la maana bungeni toka alipotumbuliwa, leo amekuwa mmoja ya wabunge waliompongeza Mpango na baada ya pongezi akaeleza pia anavyomfaham na wamefanya kazi wakiwa ofisi ya Rais
Kabla January kuhitimisha Spika amesikika akimpongeza January kwa kuucheza vyema mchezo wa siasa akitumia maneno ' kwenye siasa utakiwi kujisifu ila unatakiwa kuwa na watu wakukusifu"
Nauliza, kwanini hizi pongezi kwa January leo?
Alkua anaandika hotuba za KikweteAmejisifu alikuwa anaandika hotuba, zile za kijinga-jinga!
Ukiweza, sikiliza hotuba za Hitler uone zilivyokuwa za kizalendo.