Spika kumpongeza January Makamba ni kujirudi?

Spika kumpongeza January Makamba ni kujirudi?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Baada ya muda mrefu bila January kupigiwa pande la maana bungeni toka alipotumbuliwa, leo amekuwa mmoja ya wabunge waliompongeza Mpango na baada ya pongezi akaeleza pia anavyomfaham na wamefanya kazi wakiwa ofisi ya Rais

Kabla January kuhitimisha Spika amesikika akimpongeza January kwa kuucheza vyema mchezo wa siasa akitumia maneno ' kwenye siasa utakiwi kujisifu ila unatakiwa kuwa na watu wakukusifu"

Nauliza, kwanini hizi pongezi kwa January leo?
 
Achaneni na kuemdekeza sana mawazo ya makundi. Yanasababisha muwe na imagination kichwani.
 
Kaongea tuu kwa kujisikia..ila kampongeza sio kujirudi wala nini

Sio kila neno mliweke maanani
 
Amejisifu alikuwa anaandika hotuba, zile za kijinga-jinga!

Ukiweza, sikiliza hotuba za Hitler uone zilivyokuwa za kizalendo.
 
Hizo ni pongezi au ni kumuambia sababu zilizo mnyima Umakamu wa Rais? Huyu ni mmoja wa watu waliogharimu legacy ya Mh Rais Mstaafu Kikwete sina hakika kama hata JK mwenyewe anajua hilo. Bahati tu Rais JK aliokoa legacy yake kwa kulazimika kumpa kijiti JPM
 
Baada ya muda mrefu bila January kupigiwa pande la maana bungeni toka alipotumbuliwa, leo amekuwa mmoja ya wabunge waliompongeza Mpango na baada ya pongezi akaeleza pia anavyomfaham na wamefanya kazi wakiwa ofisi ya Rais

Kabla January kuhitimisha Spika amesikika akimpongeza January kwa kuucheza vyema mchezo wa siasa akitumia maneno ' kwenye siasa utakiwi kujisifu ila unatakiwa kuwa na watu wakukusifu"

Nauliza, kwanini hizi pongezi kwa January leo?
Hiyo video sio ya leo, tizama ni kipindi January akiwa waziri wa mazingira. January ni mstaarab sana
 
Back
Top Bottom