Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Makinda alaani zomea zomea.
Asisitiza muswada sio sheria,
asisitiza kuchangia kwa amani.
Bado hajaahirisha, Pasco, mbona haraka.
Bado anaendelea kuwapaka viongozi anaodai wanachochea vurugu kuhusiana na Muswada ya Mabadiliko ya Katiba, kufuatia yaliyotokea Dodoma na Dar.
Wabunge wa CCM wanamshangilia kwa nguvu.
Ng'wanangwa, amesisitiza huo muswada sio sheria, unarekebishika ndio maana unajadiliwa, wapinzani wa muswadi huo, wametakiwa kutoa maoni ili itakaundwa sheria, ndio iwe na hayo maoni ya wadau.anapolaani zomea zomea, sisi tunalaani muswada wenyewe.
so we are even.
mpaka kielelweke.
Invisible, sisi kama wana jf, tutafute namna ya kuwasaidia wenzetu hawa ambao sasa hawatajwi tena kwa majina, bali wana kuwa labed kama 'wafanya vurugu', hali hii ikiachiwa kuendelea hivi hivi, itafikia wakati ita register kwenye mind ya Watanzania kuwa kina 'fulani' ni wafanya vurugu!.Anadai wanaofanya vurugu wanahamasishwa na wanasiasa wenye kuwa na malengo mabaya kwa taifa? Natarajia kauli kama hii
asante mwanamama mtamu (sweetlady), habari yenyewe ya kuhabarishwa imeishapita!, hapa tunazungumzia tuu, yatokanayo.tutawazomea mpk kieleweke. Wamezoea vya kunyonga, mwaka huu watakula vya kuchinja. 2nashukuru, endlea ku2habarisha, mungu akutangulie.
Anadai wanaofanya vurugu wanahamasishwa na wanasiasa wenye kuwa na malengo mabaya kwa taifa? Natarajia kauli kama hii
Wanabodi,
Watch Live on TBC-
Spika wa Bunge, Mhe. Anna Makinda, ameliahirisha Bunge asubuhi hii, baada ya kipindi cha maswali na majibu ili kupata fursa ya kushiriki Public Hearing.
Pia Mhe. Makinda, anafafanua Kilichotokea Jana katika kupokea masoni kwa vituo vya Dar es Salaam na Dodoma.
Mhe. Makinda avishutumu vyama vinavyotumia zoezi hili kama mtaji wa kisiasa! (makofi..)
Endelea kufuatilia.
Ng'wanangwa, amesisitiza huo muswada sio sheria, unarekebishika ndio maana unajadiliwa, wapinzani wa muswadi huo, wametakiwa kutoa maoni ili itakaundwa sheria, ndio iwe na hayo maoni ya wadau.
Invisible, sisi kama wana jf, tutafute namna ya kuwasaidia wenzetu hawa ambao sasa hawatajwi tena kwa majina, bali wana kuwa labed kama 'wafanya vurugu', hali hii ikiachiwa kuendelea hivi hivi, itafikia wakati ita register kwenye mind ya Watanzania kuwa kina 'fulani' ni wafanya vurugu!.