Spika Makinda Afafanua mvurugano kwenye mjadala wa Sheria ya Mchakato wa Katiba

Spika Makinda Afafanua mvurugano kwenye mjadala wa Sheria ya Mchakato wa Katiba

Naomba kujuzwa Muswada uandikwe kizungu(English) watu wasio kwenda shule na hawajui hicho kizungu chao wataelewaje muswada huo?? St. Kayumba kizungu cha kuombea maji tena kwa jasho na tabu ya kutamka maneno wakiletewa huo muswada si utakuwa kama na maandishi ya kichina hawauelewi, wamepelekewa wasomi wetu wanaambiwa hao ni wana chadema sasa inamaanisha wanavyuoni wote ni CHADEMAAAAAAA!!!???
 
Zitto alitoa mchango mzuri, hakuna haja ya kuwa na dharula kwenye hili. Wabunge wauchukue wapeleke kwa wananchi wakusanye maoni yao. Haya yote yasinge tokea

CCM wanapoona upinzani wamewapiku kimawazo wanawaona ni mabwege,wachochezi,wanafiki sasa wanajionea tofauti ya ubwege wao na akiliza upinzani.
WATAJUUUUUTAAA KUWAFAHAMU CHADEMAAAAA...........
 
Mi nafikiri CCM imekosa mwelekeo kabisa! yan kama kweli wana nia njema katika kutafuta katiba mpya na ni kwa faida ya watanzania wote, basi watuachie sie wanacnhi ambao ndo waajiri wakuu wa viongozi wanaotakiwa kukaa ofisini mwetu tutunge sheria jinsi gani ofisi na shughuli za nchi yetu namna gani ziendeshwe! Hizi ni dharau ambazo ccm wanatufanyia, hivi wanafikiri hata kama raia wote wangekuwa ni CHADEMA kwani wao ni raia wa wapi? hivi mbona ni km vile wanataka kuifanya nchi hii kuwa CHADEMA hawahusiani nayo? kwani CHADEMA wanachokidai sio kweli na siyo haki? Yani nahisi kutapika kwa uovu wanaotufanyia hawa watu! kwa nini wasisikilize hoja na maoni bila kuangalia chama? Tafadharini sana naombeni CCM mwache kuingiza siasa kwenye shughuli hii nyeti, vinginevyo tutachafuana hapa ili ijulikane wazi kua TZ hakuna Amani kuliko kuendelea kuficha uovu na raia kuendelea kufa na njaa na PB zinazosababishwa na uongozi mbovu wa CCM!!
 
Mark,
Wanasiasa wana haki ya kuwazungumzia watanzania kuliko watu. Wanasiasa angalauuliowataja wanadhamana ya watanzania hivyo wanapozungumza hawazungumzi kwa ajili yao bali kwa ajili ya watanzania. Hoja yako ni ya kipropaganda na upotoshwaji. Wewe kama Mark, vinginevyo uwe jasiri utufahamishe jina lako kamili na nafasi yako katika jamii ili uwazungumzie watanzania. Ama sivyo jizungumzie wewe, na sisi ambao tuna ujadsiri na hatujifichi tuwazungumzie wale tunaowawakilisha. Hoja ya Katiba kimsingi ni hoja ya kisiasa, unless hujui maana ya siasa, mipaka ya siasa na maana ya uongozi wa kisiasa. Issue ya Katiba ni issue yetu kama wana siasa, na pia kama wananchi unless unatuambia kuwa wanasiasa wa Tanzania siyo Watanzania. Lets be realistic, na tuzungumze kama wazalendo kila mmoja kwa nafasi yake, ufahahamu wake na kwa kadiri na kiwango cha uchungu wake kwa Taifa lake. Anayechezea Katiba anacheza mchezo wa hatari sana

naomba wabadilishe heading waseme Dodoma hearing and Dar hearing. Ninachoomba wanasiasa wa ccm+cdm+cuf+... wasijifanye hiyo ni isue yao bali hii ni isue ya watanzania wote. watu waache ushabiki, maana ushabiki utapoteza dhana nzima ya watu wote kuhusishwa na matokeo yake yatachukuliwa mawazo ya Makamba+Slaa+Lipumba+Mrema+Dovutwa+... halafu wasema wananchi wote mawazo yao yamesikilizwa.
 
Mark,
Wanasiasa wana haki ya kuwazungumzia watanzania kuliko watu. Wanasiasa angalauuliowataja wanadhamana ya watanzania hivyo wanapozungumza hawazungumzi kwa ajili yao bali kwa ajili ya watanzania. Hoja yako ni ya kipropaganda na upotoshwaji. Wewe kama Mark, vinginevyo uwe jasiri utufahamishe jina lako kamili na nafasi yako katika jamii ili uwazungumzie watanzania. Ama sivyo jizungumzie wewe, na sisi ambao tuna ujadsiri na hatujifichi tuwazungumzie wale tunaowawakilisha. Hoja ya Katiba kimsingi ni hoja ya kisiasa, unless hujui maana ya siasa, mipaka ya siasa na maana ya uongozi wa kisiasa. Issue ya Katiba ni issue yetu kama wana siasa, na pia kama wananchi unless unatuambia kuwa wanasiasa wa Tanzania siyo Watanzania. Lets be realistic, na tuzungumze kama wazalendo kila mmoja kwa nafasi yake, ufahahamu wake na kwa kadiri na kiwango cha uchungu wake kwa Taifa lake. Anayechezea Katiba anacheza mchezo wa hatari sana

Asante RAIS wetu
 
Kwa mujibu wa katiba ya sasa kila mtu ana haki ya kutoa maoni. kinachotokea hivi sasa ni kuipotezea haki ya wananchi kutoa maoni yao. sasa hivi ni kutumia nguvu ya umma kudai haki ya msingi ya kutoa maoni yetu.
 
hivi ulazima wa spika kutoa taarifa ya mambo ya jana unatoka wapi? kama swala la kukusanya maoni lina umuhimu kiasa cha spika kulitolea taarifa mbona TBC tv ya umma haikurusha live? hawa swala la muhimu ni lile la wananchi kuonesha wanapinga serikali na shughuli za kichama za ccm kama maadhimisho ya kuzaliwa kwa chama?

Ndg zangu amini nawaambia serikali na bunge wapo kwenye mapambano makali dhidi ya CHADEMA kiasi cha kupata upofu na hivyo kushindwa kuona na kutofautisha ni lipi la CHADEMA na lipi ni la wananchi, bado wanazani wananchi ni wajinga hivyo wanaodai haki wametumwa na CDM.Katika mantiki hii tusitegemee jema lolote kutoka serikalini na bungeni kwani mliotazama bunge nazani mmeona jinsi wabunge wa ccm walivyopiga makofi, mkumbuke tu kwamba sio tu walipiga makofi bali walipiga makofi kabla spika ajamaliza kuongea, hii inaashilia nini? hii inaonesha kuwa wabunge hawa bado hawajakomaa kifikra kiasi cha kuipinga serikali inapoitajika, hivyo bila shaka wataupitisha mswaada ambao binafsi najua watarekebisha kidogo lakini bado utakua na mapungufu mengi tu.

Ndg zangu inasikitisha sana kuona vyombo muhimu vya dola yaani bunge na serikali vinageuka na kuwa vyombo vya kupambana na chama cha siasa(CHADEMA) matokeo yake kujikuta inapambana na wananchi ikizani inapambana na chama, tatizo hapa sio CHADEMA, tatizo ni wananchi wamepoteza imani na serikali, hivyo kupambana na CHADEMA ni kupoteza rasilimali za nchi kama mabomu ya machozi, mafuta n.k ambazo wangeweza kutumia rasilimali hizo kurudisha imani ya wananchi na kumaliza tatizo, kwani wanayofanya sasa ndo yanaongeza tatizo.
 
Wamezoea kuongoza watu waliochomwa chanjo wakidai kuwa wanazuia magonjwa ya kurithi kumbe ni janja ya wazungu kufanya kizazi chote mazezeta.
Kizazi hiki hakijachanjwa, subiri wababaishaji watakavyo angushwa kama yule jaaa Gbagbo
 
Makinda anajaribu kujisafisha kisiasa, hv mh Lema alifanya kosa kuwahamasisha wanavyuo wajitokeze kwa wingi kutoa maoni yao? Mbona 2lisikia matangazo yakihamasisha hlo?.
Kilichotokea jana ni juhud za makusudi kutuzuia coz 2lifika mapema kabla yao bt walioingia ni wao na watu waliokwishaandaliwa na wanavyuo walioingia walitumia mbinu mbadala ya kujipenyeza, pia watueleze mbunge wa dodoma mjin ambaye ni mmiliki wa shule ya sekondari ya City alitumia vgezo gana kuwaingiza wanafunz wake huku sisi tukiwa nje tangu saa moja asubuh?. Kaz ya wanasiasa ni ku2hamasisha juu ya michakato ya maendeleo ya taifa letu na wala mh. Lema hakuhamasisha tufanye vurugu ila wao ndo waliosababisha vurugu.
 
Mark,
Wanasiasa wana haki ya kuwazungumzia watanzania kuliko watu. Wanasiasa angalauuliowataja wanadhamana ya watanzania hivyo wanapozungumza hawazungumzi kwa ajili yao bali kwa ajili ya watanzania. Hoja yako ni ya kipropaganda na upotoshwaji. Wewe kama Mark, vinginevyo uwe jasiri utufahamishe jina lako kamili na nafasi yako katika jamii ili uwazungumzie watanzania. Ama sivyo jizungumzie wewe, na sisi ambao tuna ujadsiri na hatujifichi tuwazungumzie wale tunaowawakilisha. Hoja ya Katiba kimsingi ni hoja ya kisiasa, unless hujui maana ya siasa, mipaka ya siasa na maana ya uongozi wa kisiasa. Issue ya Katiba ni issue yetu kama wana siasa, na pia kama wananchi unless unatuambia kuwa wanasiasa wa Tanzania siyo Watanzania. Lets be realistic, na tuzungumze kama wazalendo kila mmoja kwa nafasi yake, ufahahamu wake na kwa kadiri na kiwango cha uchungu wake kwa Taifa lake. Anayechezea Katiba anacheza mchezo wa hatari sana

Nashukuru Dr W Slaa kumfahamisha huyo Mark! Mimi nawashauri CHADEMA watumie sana vyombo vya habari na maandamano (kama itawezekana) ili kuwajulisha wananchi juu ya ubaya wa "Constitutional Review Bill, 2011" kabla haijawa Sheria, maana ikishapitishwa na Bunge na hatimaye kusainiwa na Rais na kuwa Sheria kitakuwa kitanzi kibaya sana kwa CHADEMA na vyama vya upinzani kwenye mchakato huu wa Katiba (mpya?)
 
Mpaka kieleweke
Mzee Mwinyi kakaa miaka 10 hakuyamaliza, Mzee Mkapa nae kakaa miaka 10 hakuyamaliza. Mie nimekaa miaka mitano hayakwisha na nitamaliza mitano hayataisha yote.
 
asiramkono.jpg
 
Ndugu watanzania wenzangu, nasikitishwa sana hasa na wabunge wa CCM kwa kuziba masikio na kufumba macho yao ili kutoona na kusikia kilio cha watanzania na kudhani kwamba mtanzania wa leo anaweza endeshwa tu kama gari bovu. Kutokana na hivyo basi napenda kutoa Rai ya kuwa wakati umefika kwa watanzania wote tusimame imara kupinga na kuikataa hii dhulma inayotaka kuikumba nchi yetu kwa wakati huu na ujao. Nikiangalia trend ya mambo yanavyokwenda hivi sasa napata woga na huko tuendako. Wabunge wengi wa CCM wanaelimu lakini wamekosa utashi (Majibu rahisi kwa maswali magumu) na hili nitatizo kubwa sana kwa jamii yetu hivi sasa. kwa yaliyotokea jana nimefurahi na kujifunza kuwa haki ya raia hua haiombwi kama woa wanvyodhani.
 
Akikemea kupinga muswada katika namna ambazo amedai ni za kichochezi, Makinda amesema amejaza "watu wazito, wanasheria karibu wote" kwenye kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba ambayo itapitia muswada wa Katiba, ambao amesema baada ya kusomwa mara ya kwanza ameupeleka kwenye kamati. Akadai hata wakitaka "walale mule wiki nzima" wakipitia muswada huo.

Naamini alikuwa anamlenga Tundu Lissu, moja ya sauti za upinzani dhidi ya muswada huu. Tundu Lissu peke yake si atamezwa na kina Andrew Chenge waliomo mule? Lissu jiandae, muswada ukipita kwenye Kamati watasema na kina Lissu wamo mule.
 
Naomba waendelee na huu ukaidi na kupisha huu mswada kwa wingi wao ili hatma yao itimie kwani watakuwa wametupa sababu za kutosha kuwaondoa madarakani kwa NGUVU YA UMMA.......:rip:CCM.
 
hivi ulazima wa spika kutoa taarifa ya mambo ya jana unatoka wapi? kama swala la kukusanya maoni lina umuhimu kiasa cha spika kulitolea taarifa mbona TBC tv ya umma haikurusha live? hawa swala la muhimu ni lile la wananchi kuonesha wanapinga serikali na shughuli za kichama za ccm kama maadhimisho ya kuzaliwa kwa chama?

Ndg zangu amini nawaambia serikali na bunge wapo kwenye mapambano makali dhidi ya CHADEMA kiasi cha kupata upofu na hivyo kushindwa kuona na kutofautisha ni lipi la CHADEMA na lipi ni la wananchi, bado wanazani wananchi ni wajinga hivyo wanaodai haki wametumwa na CDM.Katika mantiki hii tusitegemee jema lolote kutoka serikalini na bungeni kwani mliotazama bunge nazani mmeona jinsi wabunge wa ccm walivyopiga makofi, mkumbuke tu kwamba sio tu walipiga makofi bali walipiga makofi kabla spika ajamaliza kuongea, hii inaashilia nini? hii inaonesha kuwa wabunge hawa bado hawajakomaa kifikra kiasi cha kuipinga serikali inapoitajika, hivyo bila shaka wataupitisha mswaada ambao binafsi najua watarekebisha kidogo lakini bado utakua na mapungufu mengi tu.

Ndg zangu inasikitisha sana kuona vyombo muhimu vya dola yaani bunge na serikali vinageuka na kuwa vyombo vya kupambana na chama cha siasa(CHADEMA) matokeo yake kujikuta inapambana na wananchi ikizani inapambana na chama, tatizo hapa sio CHADEMA, tatizo ni wananchi wamepoteza imani na serikali, hivyo kupambana na CHADEMA ni kupoteza rasilimali za nchi kama mabomu ya machozi, mafuta n.k ambazo wangeweza kutumia rasilimali hizo kurudisha imani ya wananchi na kumaliza tatizo, kwani wanayofanya sasa ndo yanaongeza tatizo.

Kupambana na Chadema ndio kupambana na wananchi, kwa sasa wanachi walio wengi wenye kuona mbali wanaamini katika Chadema, hivyo Chadema ni Wananchi na kupambana na Chadema ni kumbana na Wenyenchi hii.
 
Mtu kama Tabwe Hiza ni watu wa kufugwa maisha baada ya Katiba Mpya, nani alibeba watu kwenye malori kupeleka Karimjee Hall, hivi jamaa huyu anatumia tumbo kufikiri? CCM kuwakabishi watu wa type hii kukiongoza chama ni Mzigo, yaani ni kukiua chama kabisa.

CCM ikilifanyika mzaha suala hili lazima damu itamwagika tena, suala la KATIBA halina uchadema, u CUF na hata hao CCM anaosema atawaita waje kumshangilia nafikiri ni wale mazuzu wenzake.

Amenikera sana tena mno, tufike mahala tuongee masuala ya msingi si mzaha tena kwa mustakabali wa taifa letu. Dharau Dharau lazima yatokee zaidi ya yale ya KENYA. Mfano mzuri ni jana pale TAGETA.

Mabadiliko ni lazima, na wananchi wote wako up for that, sasa Tabwe na wenzako danganyaneni kwamba wana CCM hawahitaji katiba mpya bali wanataka ammendments tu - na hilo ndilo litakalokimalizia chama chenu.

Bado nahoji hivi ndani ya CCM watu wenye busara wameisha?
 
naomba kujua kama joseph warioba ni cdm..na kama ni ccm je kwanini hakuzomewa jana..
 
Back
Top Bottom