zaleo
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,902
- 765
Hata TANU Youth Legue wamefurahi vilevile.BA.VI.CHA mmefurahiiiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata TANU Youth Legue wamefurahi vilevile.BA.VI.CHA mmefurahiiiiii
kipengele gani hicho mkuu?
Mkuu anakushika nn huyo ndungai mbona unamtolea mapovu hivyo??ni heri ungekaa kimya kuficha ujinga wako kuliko hiki ulichofanya.hiyo katiba kama mambo yataenda kama ilivyopangwa itaanza kutumika sana sana kuanzia 2015.so ni kusema bunge lijalo na hata bila katiba mpya uchaguzi wa spika/naibu spika utafanyika upya na sio lazima ndugai apite/agombee