OK hatukatai tunazuia korona kwa watu maarufu,Hii si lazima iwe ni korona Bali inaonekana ni tahadhari dhidi ya korona. Hivi unadhani kama watu wakiruhusiwa kuhudhuria ni maelfu wangapi watahudhuria? Kwa mazingira ya sasa haiwezekani!!
Labda eneo alilojenga hilo kanisa sio eneo lake. Pengine ni eneo la serikali alilikodi kwa ajili ya shughuli za ibada.Tangu lini familia inaomba kuzika mwili sehemu fulani!
Covid 19Tigershark,
Hii si lazima iwe ni korona Bali inaonekana ni tahadhari dhidi ya korona. Hivi unadhani kama watu wakiruhusiwa kuhudhuria ni maelfu wangapi watahudhuria? Kwa mazingira ya sasa haiwezekani!!
Lazaro wa kifuani mwa Ibrahim na yule aliyefufuliwa na Yesu ni watu wawili tofautiIdadi ya watu si hoja! Hoja ni kuwa shujaa wa imani amelala! Mazishi ya Lazaro kwenye biblia hayakuhudhuriwa na watu wowote lakini alipokelewa kifuani pa Ibrahimu na kuburudishwa!!
Nadhani hao watu 10 ni wawakilishi kutoka BungeniKwanini familia iiombe serikali wazike kwenye eneo la kanisa? Familia haina mamlaka ya kuamua azikwe wapi mpaka waiombe serikali? Kwanini watu wasiozidi 10? kwanini wasiwe 100 huku wakizingatia social distance,kunawa ,mask na sanitizer?
Na hawa wanaohudhuria maombi ni mazimwi?Tigershark,
Hii si lazima iwe ni korona Bali inaonekana ni tahadhari dhidi ya korona. Hivi unadhani kama watu wakiruhusiwa kuhudhuria ni maelfu wangapi watahudhuria? Kwa mazingira ya sasa haiwezekani!!
Corona huwa ni dubwasha fulani hivi. Nadhani lina uhai na linasikia. Maana wote walioikosea adabu imewavaa kisawasawa.R.I.P Maman. Wamesema ikiwezekana. Sasa Serikali ndo muamuzi wa mwisho. Mazishi kusimamiwa na Serikali. Merci à la Chine. Mama Rwakatare alivyokuwa msitari wa mbele kukemea Coronavirus. Leo imemwondoa. 😥😥😥💔💔💔💔
Hii biblia ya wapi tena🏃🏃🏃🏃Idadi ya watu si hoja! Hoja ni kuwa shujaa wa imani amelala! Mazishi ya Lazaro kwenye biblia hayakuhudhuriwa na watu wowote lakini alipokelewa kifuani pa Ibrahimu na kuburudishwa!!
corona + corona = ?
🙈🙈🙈Lazaro wa kifuani mwa Ibrahim na yule aliyefufuliwa na Yesu ni watu wawili tofauti
Hili dude linahitaji heshima. Na kutumia means zote ili kuliepuka.Corona huwa ni dubwasha fulani hivi. Nadhani lina uhai na linasikia. Maana wote walioikosea adabu imewavaa kisawasawa.
Hata bungeni kuagwa?
[/dQUOTE]
Kipindi hiki utaratibu wa kuaga bungeni hautakuwepo kwa yeyote si kwa huyu tu wa sasa!
Kwanini isiwe ni sheria kwa misiba yote? Je wakisema watu 50 kwa wakati huu haiwezekani?Tigershark,
Hii si lazima iwe ni korona Bali inaonekana ni tahadhari dhidi ya korona. Hivi unadhani kama watu wakiruhusiwa kuhudhuria ni maelfu wangapi watahudhuria? Kwa mazingira ya sasa haiwezekani!!
Inashangaza sana , Mkuu!Vitalis Msungwite,
Kwenye mazishi tu ndio umati wa watu unakua nongwa ila kwenye maombi na shughuli za serikali sio tatizo sio?
Bado wewe😠Corona huwa ni dubwasha fulani hivi. Nadhani lina uhai na linasikia. Maana wote walioikosea adabu imewavaa kisawasawa.
Ila ibada inawezekanaTigershark,
Hii si lazima iwe ni korona Bali inaonekana ni tahadhari dhidi ya korona. Hivi unadhani kama watu wakiruhusiwa kuhudhuria ni maelfu wangapi watahudhuria? Kwa mazingira ya sasa haiwezekani!!