jossiekaps
JF-Expert Member
- Sep 11, 2015
- 322
- 250
Serikali itawakilishwa na watu wangapi, bungeni lazima kuwe na mwakilishi..na ndugu? Watu 10 tu?
However, #RIPmama.
However, #RIPmama.
Tanzania sisi ni wasanii sana...ni usanii ngazi ya kimataifa..
Hata mie sasa naanza kuamini kwamba Balali ni mzima...duh!!
Ni lazma kwanAagwe bungeni, uwekwe utaratibu mzuri tu ili wabunge wapangwe kama wanavyopangwa sasa!
Ya Mama RwakatareHii biblia ya wapi tena[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
No, watu waruhusiwe wamzike. hilo tu! Huyu ni public figure tena mtumishi wa Mungu utasemaje "Not everthing........"Unataka tu atangazwe kafa kwa Covid19?
"Not everything is for everybody"
Familia imeomba au imeamua?Nimefuatilia bunge nimesikia taarifa hiyo ya Spika, pia familia imeomba azikwe kwenye eneo la kanisa Mlima wa moto.
Hivi Congo street au kwa mzee Gwajima wanahudhuria watu wangapi kwa siku? Sorry lakiniTigershark,
Hii si lazima iwe ni koroivi na Bali inaonekana ni tahadhari dhidi ya korona. Hivi unadhani kama watu wakiruhusiwa kuhudhuria ni maelfu wangapi watahudhuria? Kwa mazingira ya sasa haiwezekani!!
Jana machana maeneo ya Buguruni kituo cha polisi napewa taarifa kuwa askari mmoja alianguka akafia pale pale wakabeba wakapeleka Muhimbili. Sasa sijui wanailinda vipi Muhimbili.Hili dude linahitaji heshima. Na kutumia means zote ili kuliepuka.
wameomba mkuuFamilia imeomba au imeamua?
eneo la kanisa lipo huko madale,linamilikiwa na kanisa lakeWasije wakapageuza sehemu ya kuabudia. Serikali haioni hatari iliyopo?
Katika eneo la kanisa hilo hilo ambako Mama Rwekatale atazikwa na watu kumi tu, kila jumapili kuna maelfu ya watu wanakusanyika kusali. Jumapili iliyopita walifurika kusali na jumapili ijayo watafurika kusali. Hivyo mantiki ya kuepuka watu kupata Corona haipo kwa 100%.Tigershark,
Hii si lazima iwe ni korona Bali inaonekana ni tahadhari dhidi ya korona. Hivi unadhani kama watu wakiruhusiwa kuhudhuria ni maelfu wangapi watahudhuria? Kwa mazingira ya sasa haiwezekani!!
Serikali kuficha ficha ndio wanazidi kuongeza tatizo,wakiweka wazi kwamba amekufa kwa corona waamini wake waliofanya naye ibada j2 wangeanza kujifanyia self isolation ili kujicheck afya kwa muda lakini wakiendeleea kuficha waamini wanazidi kusambaza kitaani.Tunashangaa..mbona mnaruhusu watu wakusanyike makanisani je huko corona inaogooa?....kwa mfano jumapili ya juzi alikuwa na waumini wake zaidi ya hata 300 kuliombea Taifa kwa janga hili mliruhusu; sasa mbona kwenye mazishi yake ndiyo watu wawe mtu ten tu? au Corona inasambaa zaidi kwenye mazishi na si makanisani au mahali pengine? minadani na masokoni haisambai siyo!!
Sisi ni watu wazima....
Due,hivi corona inaua hata bila mtu kuugua eee?Jana machana maeneo ya Buguruni kituo cha polisi napewa taarifa kuwa askari mmoja alianguka akafia pale pale wakabeba wakapeleka Muhimbili. Sasa sijui wanailinda vipi Muhimbili.
Mkuu kwa sheria za mijini huwezi kuzika mtu mahali popote bila kuomba kibali serikalini.Tangu lini familia inaomba kuzika mwili sehemu fulani!
Ukiwa na Corona halafu una presha aisee inapanda fasta kama tairi inayojazwa upepo. Mishipa inapasuka na inakuwa bai bai hivyo.Due,hivi corona inaua hata bila mtu kuugua eee?