Spika: Mazishi ya Mama Rwakatare yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10, Serikali itasimamia

Spika: Mazishi ya Mama Rwakatare yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10, Serikali itasimamia

Idadi ya watu si hoja! Hoja ni kuwa shujaa wa imani amelala! Mazishi ya Lazaro kwenye biblia hayakuhudhuriwa na watu wowote lakini alipokelewa kifuani pa Ibrahimu na kuburudishwa!!

Razaro alikuwa kabila gani je mila na desturi za kabila lake zinasemaje
 
Idadi ya watu si hoja! Hoja ni kuwa shujaa wa imani amelala! Mazishi ya Lazaro kwenye biblia hayakuhudhuriwa na watu wowote lakini alipokelewa kifuani pa Ibrahimu na kuburudishwa!!
Kaburi lake lilichimbwa na akina nani?
 
Tigershark,
Hii si lazima iwe ni korona Bali inaonekana ni tahadhari dhidi ya korona. Hivi unadhani kama watu wakiruhusiwa kuhudhuria ni maelfu wangapi watahudhuria? Kwa mazingira ya sasa haiwezekani!!
Da Watanzania akili zao zinatia mashaka, makanisani watu wanajazana kama kuku, Mama mchungaji maarufu anazikwa na watu kumi! Ama kweli mficha maradhi kifo kitamuumbua.
 
Kama ni suala la kuepuka msongamano tu, kwa nini mahali pa kuzikia iwe ishu ya kuiomba serikali? Unataka kusema misiba yooote sasa mzikaji ni serikali? Mbona wengi wamezikwa na ndugu zao?
Hujui......Bishop Rwakatare ni mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? sijui.....Maziko yoyote nje ya makaburi ya jumuiya lazima kibali kitoke Serikalini?
 
Idadi ya watu si hoja! Hoja ni kuwa shujaa wa imani amelala! Mazishi ya Lazaro kwenye biblia hayakuhudhuriwa na watu wowote lakini alipokelewa kifuani pa Ibrahimu na kuburudishwa!!
.
Hapo tu ndio ninapopataga raha na maandiko, kwamba kafa kisha akapata raha kifuani kwa Ibrahim!
 
Mjinga wewe, mbona kanisani wanakusanyika na hawakatazwi? Tumia akili!
Hivi mkicomment bila kutukana mnapungukiwa nini? Si kila mtu ataendana na mawazo yako. Tujifunze kujibizana bila mihemko.
Sorry nimeingilia yasiyonihusu.
 
maforce,
Upumbavu ni nini ? Upumbavu ni kuamini watu wa kumzika mama Lwakatare wasizidi kumi ni uamuzi wa kawaida ila kwenye ibada ya karemjee itakayofanywa na majaliwa akiwa kama kiongozi watu wanaruhusiwa kumiminika tu kwa wingi 🤣🤣🤣🤣. Ilipofika Tanzania ni akili kumkichwa ukilemaa unaachwa feri 🤣🤣🤣🤣. Mkuu yan hii kitu kwako wewe ni ngumu kuelewa ?.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kazikeni matambala mbuzi nyie! Huyo ameshafukiwa Mbweni mchana wa leo! Mkiwaonesha hao waombolezaji 10 sura yake ya mwisho uje kuniambia nikupe zawadi! Huyo ukurasa wake umefungwa tayari, acheni kupotosha watu ninyi CCM hovyo kabisa.
 
Hata Kesho viwanja vya Karamjee kwenye maombi ya nchi watahudhuria watu 10 tu na kufanya maombi kwa pamoja.
 
Yeye mwenyewe speaker atakiwi kufika bungeni kabisa, lakini aelewi somo.
 
Labda eneo alilojenga hilo kanisa sio eneo lake. Pengine ni eneo la serekali alilikodi kwa ajili ya shughuli za ibada.
Jana baba ake simbachawene kazikwa na mamia ya watu iweje yeye azikwe na watu kumi pekee ?
 
Back
Top Bottom