April 21, 2020
MSEMAJI WA FAMILIA AELEZA TARATIBU ZA MSIBA NA MAZISHI YA MAMA BISHOP DR. GETRUDE P. RWAKATARE
Mazishi kufanyika siku ya alhamisi 23 April 2020 katika eneo la Kanisa la Mlima wa Moto jijini Dar es Salaam, na shughuli itahudhuriwa na watu wachache watakaowakilisha wengine, lakini itakuwa live/mubashara ktk mitandao, Radio na Televisheni ili wapendwa wote na waTanzania wengi wapate kushuhudia kwa wingi toka maeneo ya maskani zao au majumbani mwao kutokana na tishio la COVID-19.
Source: Kayuni Online TV