Spika: Mazishi ya Mama Rwakatare yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10, Serikali itasimamia

Spika: Mazishi ya Mama Rwakatare yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10, Serikali itasimamia

Hivi mkicomment bila kutukana mnapungukiwa nini? Si kila mtu ataendana na mawazo yako. Tujifunze kujibizana bila mihemko.
Sorry nimeingilia yasiyonihusu.
Na kweli!
 
Kama ni suala la kuepuka msongamano tu, kwa nini mahali pa kuzikia iwe ishu ya kuiomba serikali? Unataka kusema misiba yooote sasa mzikaji ni serikali? Mbona wengi wamezikwa na ndugu zao?
Mkusanyiko ktk pantoni zote sio ishu ehh !!
Watu sio wajinga kiasi hicho. Na mtaumbuka sana mwaka huu.
Dogo aliyesema hakuna kukaa ndani Leo anasema Dar watu wanapukutika !!@
 
Kwanini familia iiombe serikali wazike kwenye eneo la kanisa? Familia haina mamlaka ya kuamua azikwe wapi mpaka waiombe serikali?

Kwanini watu wasiozidi 10? kwanini wasiwe 100 huku wakizingatia social distance, kunawa, mask na sanitizer?
Kuna kitu hakiko sawa hapo fanya subra fanya upelelezi wako binafsi
 
Serikali kuficha ficha ndio wanazidi kuongeza tatizo,wakiweka wazi kwamba amekufa kwa corona waamini wake waliofanya naye ibada j2 wangeanza kujifanyia self isolation ili kujicheck afya kwa muda lakini wakiendeleea kuficha waamini wanazidi kusambaza kitaani.
Wanaficha ficha vingi bila kujua kuwa watanzania wana Akili nyingi kuliko wao wachache
 
Labda eneo alilojenga hilo kanisa sio eneo lake. Pengine ni eneo la serikali alilikodi kwa ajili ya shughuli za ibada.
MtamaMchungu sengobad Huku Jijini si sawa na huko Rukwa kila familia ina makaburi, Hairuhusiwi kuzika nje ya makaburi ya Kijamii hivyo unahitaji ruhusa maalum otherwise anaweza kuzikwa kinondoni
 
Kwanini familia iiombe serikali wazike kwenye eneo la kanisa? Familia haina mamlaka ya kuamua azikwe wapi mpaka waiombe serikali?

Kwanini watu wasiozidi 10? kwanini wasiwe 100 huku wakizingatia social distance, kunawa, mask na sanitizer?
Tena leo nimeona mazishi sinza makaburini DSM waombolezaji wanazidi 50

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chinchilla coat,
Naomba ufafanuzi zaidi, ni kawaida serikali kusimamia mazishi ya wabunge au ni kipindi hiki cha Covid-19 tu?, Je, Bunge huwa linasimamia mazishi ya wabunge wake?
 
R.I.P Mama. Wamesema ikiwezekana. Sasa Serikali ndo muamuzi wa mwisho. Mazishi kusimamiwa na Serikali. Merci à la Chine. Mama Rwakatare alivyokuwa msitari wa mbele kukemea Coronavirus. Leo imemwondoa. 😥😥😥💔💔💔💔
Ni kweli?
 
Raha ya Milele umpe Eee Bwana, Apumzike kwa Amani! Amina. Mtu kama mimi hata sihitaji kujua marehemu amekufa kwa nini maana wote tutaelekea huko huko ila tunatofautiana namna ya kuondoka Mambo mengine yanaeleweka tu wazi bila hata kuambiwa maana utamaduni wetu tunaujua wenyewe. Ummy Mwalimu alishasema si maadili kutaja taja magonjwa ya watu hadharani
Baada ya kifo chake asubuhi jioni tukatangaziwa idadi kubwa ya victims. Na iendelee kuwa siri ila yule mbunge aliyetangazwa ana covid bila kutajwa jina akifa tutaambiwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tigershark,
Hii si lazima iwe ni korona Bali inaonekana ni tahadhari dhidi ya korona. Hivi unadhani kama watu wakiruhusiwa kuhudhuria ni maelfu wangapi watahudhuria? Kwa mazingira ya sasa haiwezekani!!
Lakini ndani ya kanisa lake ibada zinaendelea kama kawa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hajafa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kwanini watu kumi tu!?

Nje kidogo ya mada:-
Hivi mamlaka zimeshindwa kabisa kutuonyesha hata video ya maziko ya Balali?

Jr[emoji769]
 
Sasa nimeamini ya kuwa kuzikwa na wengi ni majaliwa.

Unaweza ukawa Alwatan/Jina kubwa/Maarufu/Mashuhuri/Unaejulikana na weng/Mtu wa watu, nk.
Na bado usizikwe na wengi.

Msiba wa huyu Mama ni MAWAIDHA tosha
 
Back
Top Bottom