Parokia ya Tosamaganga Iringa
Umeuliza huyu mama Corona ameipata wapi? Yaani is like you know corona ilipoUngenijibu tu ili nione mantiki ya hoja yenu.
Kwani PM wa Uingreza aliipatia wapi?Watu mnapenda kuhisi, sasa huyu mama corona kaipatia wapi?
May her soul rest in peace.
R.I.P Mama. Wamesema ikiwezekana. Sasa Serikali ndo muamuzi wa mwisho. Mazishi kusimamiwa na Serikali. Merci à la Chine. Mama Rwakatare alivyokuwa msitari wa mbele kukemea Coronavirus. Leo imemwondoa. 😥😥😥💔💔💔💔
Tangu lini familia inaomba kuzika mwili sehemu fulani!
Kwa eneo Kama Mikocheni lazima waombe kibali lakini kubwa zaidi kuna sintofahamu??!!Tangu lini familia inaomba kuzika mwili sehemu fulani!
Mficha ugonjwa kifo humuumbua.
Najua la kuomba kibali... ni jambo la kawaida sio topic ya kusemwa na Spika. My point is na haya mazingira ya Corona inaleta maswali zaidi ya majibu.Mkuu, ungefanya uchunguzi kidogo ungegundua kuwa serikali ilipaswa kutoa kibali hiki kwa sababu eneo wanalotaka kumzika marehemu lilipangiwa makazi ya binadamu. Hujui serikali hupanga matumizi ya ardhi ikishayapima?? Hapa sio kijijini shambani!!
Mficha ugonjwa kifo humuumbua.
Yanafanya Siri tutayajua yote yakianza kufa na kuziiwkwa na manispaaKatika pitapita yangu humu JF nikaikuta Thread moja yenye kichwa cha habari "Naibu Spika Tulia Ackson athibitisha Mbunge mmoja kupata maambukizi ya COVID-19"
Mpaka leo bado huyo mbunge hajatajwa?
Wakati Lazaro anazikwa bila kuhidhuriwa na watu kulikua na mlipuko wa ugonjwa wowote na muongozo wa kuzuia maziko ya Lazaro yalitolewa na nani?Idadi ya watu si hoja! Hoja ni kuwa shujaa wa imani amelala! Mazishi ya Lazaro kwenye biblia hayakuhudhuriwa na watu wowote lakini alipokelewa kifuani pa Ibrahimu na kuburudishwa!!
Kama mbunge, kuna taratibu pia, ambazo hazijafuatwa. Kama ni kibsli, ni suala la kawaida na ni tofauti na "kuiomba serikali"Hujui......Bishop Rwakatare ni mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? sijui.....Maziko yoyote nje ya makaburi ya jumuiya lazima kibali kitoke Serikalini?
Kwahiyo utaratibu ni kwamba familia inaiomba serikali ili wazike sehemu fulani? Kwahiyo watu wanaosema wazikwe kwenye maeneo ya mashamba yao wanakosea au siyo?Savimbi Jr, Wewe kumbe ni mweupe kabisa kichwani ee? Unajua utaratibu wa maeneo ya kuzikia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tigershark,
Hii si lazima iwe ni korona Bali inaonekana ni tahadhari dhidi ya korona. Hivi unadhani kama watu wakiruhusiwa kuhudhuria ni maelfu wangapi watahudhuria? Kwa mazingira ya sasa haiwezekani!!
Hofu yako ninini? Au unadhani atafukuliwa?Kwanini familia iiombe serikali wazike kwenye eneo la kanisa? Familia haina mamlaka ya kuamua azikwe wapi mpaka waiombe serikali?
Kwanini watu wasiozidi 10? kwanini wasiwe 100 huku wakizingatia social distance, kunawa, mask na sanitizer?
Idadi ya watu si hoja! Hoja ni kuwa shujaa wa imani amelala! Mazishi ya Lazaro kwenye biblia hayakuhudhuriwa na watu wowote lakini alipokelewa kifuani pa Ibrahimu na kuburudishwa!!