900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,485
- 11,556
Vipi hayo maombi ya uwanjani yatakayoendeshwa na askofu Majaliwa, kama ishu ni mikusanyiko.Tigershark,
Hii si lazima iwe ni korona Bali inaonekana ni tahadhari dhidi ya korona. Hivi unadhani kama watu wakiruhusiwa kuhudhuria ni maelfu wangapi watahudhuria? Kwa mazingira ya sasa haiwezekani!!
Tigershark,
Hii si lazima iwe ni korona Bali inaonekana ni tahadhari dhidi ya korona. Hivi unadhani kama watu wakiruhusiwa kuhudhuria ni maelfu wangapi watahudhuria? Kwa mazingira ya sasa haiwezekani!!
Tangu lini familia inaomba kuzika mwili sehemu fulani!
Corona na ngoma ziki-merge ni hatareee.R.I.P Mama. Wamesema ikiwezekana. Sasa Serikali ndo muamuzi wa mwisho. Mazishi kusimamiwa na Serikali. Merci à la Chine. Mama Rwakatare alivyokuwa msitari wa mbele kukemea Coronavirus. Leo imemwondoa. 😥😥😥💔💔💔💔
Anaingia mmoja mmoja kwa nafasi alafu unaondoka. Jeneza lina linakuwa WAZI ili wamuone mara ya mwishoTigershark,
Hii si lazima iwe ni korona Bali inaonekana ni tahadhari dhidi ya korona. Hivi unadhani kama watu wakiruhusiwa kuhudhuria ni maelfu wangapi watahudhuria? Kwa mazingira ya sasa haiwezekani!!
Hii itakuwa corona mzee kusoma hujui hata picha huoni?Tigershark,
Hii si lazima iwe ni korona Bali inaonekana ni tahadhari dhidi ya korona. Hivi unadhani kama watu wakiruhusiwa kuhudhuria ni maelfu wangapi watahudhuria? Kwa mazingira ya sasa haiwezekani!!
Bila kwenda mbali. Hata hapo kanisani kwake watu wanajazana. Hata leo walikuwepo.RIP mama!
kama amekufa kwa shiikizo la damu kwanini azikwe na watu wasiozidi 10?
Nasema hivyo kwa sababu bado watu tunajazana kwenye minada, masoko, magari etc sasa kuzika ndiko kutaleta maambukizi zaidi kwa mtu ambaye amekufa kwa shinikizo la damu?
RIP Mama
Kwanini watu kumi tu!?
Nje kidogo ya mada:-
Hivi mamlaka zimeshindwa kabisa kutuonyesha hata video ya maziko ya Balali?
Tunashangaa..mbona mnaruhusu watu wakusanyike makanisani je huko corona inaogooa?....kwa mfano jumapili ya juzi alikuwa na waumini wake zaidi ya hata 300 kuliombea Taifa kwa janga hili mliruhusu;Kwanini familia iiombe serikali wazike kwenye eneo la kanisa? Familia haina mamlaka ya kuamua azikwe wapi mpaka waiombe serikali?
Kwanini watu wasiozidi 10? kwanini wasiwe 100 huku wakizingatia social distance, kunawa, mask na sanitizer?
Ngoma,kisukari,Athma,pressure. Coronavirus ikija juu yake ni hatari sana.Corona na ngoma ziki-merge ni hatareee.
Jumapili hakuwepo kanisani.Tumashangaa..mbona mnaruhusu watu wasikusanyike makanisani...kwa mfano Jumapili alikuwa na waumini wake zaidi ya hata 300; sasa mbona mazishi tu? au Corona inasambaa zaidi kwenye mazishi tu na si makanisani au mahali pengine? minadani na masokoni haisambai siyo
Sisi ni watu wazima....
Tanzania sisi ni wasanii sana...ni usanii ngazi ya kimataifa..Mie ni mmoja wa wanaoamini Balali hakufa jamani