Nsoji go Nvaa
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 999
- 1,948
Wanabodi leò mida ya jioni wakazi wa jiji la Dodoma wamepigwa butwaa baada kumuona Spika Mstaafu Job Ndugai akiendesha gari mwenyewe.
Spika alionekana eneo la Makulu akiweka mafuta kituo cha mafuta GPB akìwa anaendesha mwenyewe
Watu wanauliza mbona mama Sitta amepewa dreva na gari la serikali na japo alikuwa tu mke wa spika, iweje Spika Ndugai atelekezwe hivi? CCM rekebisheni hilo.
Soma Pia: Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni