Nsoji go Nvaa
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 999
- 1,948
- Thread starter
- #41
Ndio nashangaa kwann wamempokonya hadhi yake kama kiongozi wa mhimili wa 2 nchiniUnamshangaa BILIONEA Ndugai?
Embu tafuta hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio nashangaa kwann wamempokonya hadhi yake kama kiongozi wa mhimili wa 2 nchiniUnamshangaa BILIONEA Ndugai?
Embu tafuta hela
KayatakaWanabodi leò mida ya jioni wakazi wa jiji la Dodoma wamepigwa butwaa baada kumuona Spika Mstaafu Job Ndugai akiendesha gari mwenyewe.
Spika alionekana eneo la Makulu akiweka mafuta kituo cha mafuta GPB akìwa anaendesha mwenyewe gari prado T900 CQP.
Watu wanauliza mbona mama Sitta amepewa dreva na gari la serikali na japo alikuwa tu mke wa spika, iweje Spika Ndugai atelekezwe hivi? CCM rekebisheni hilo.
Soma Pia: Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni
Uko sahihi kakaBro, unachofanya ni kueneza udaku wa uongo na si sawa kabisa! Kwanza, Spika Ndugai ana haki ya kuishi maisha yake binafsi bila watu kumdhalilisha kwa kumwaga details kama namba za gari.
Dodoma ni mji wake, si ajabu kumwona akiendesha gari lake mwenyewe, si kila kitu lazima kiwe na dreva wa serikali. Siyo kila mtu anataka kuishi maisha ya kiserikali 24/7, na hio unayosema kuhusu 'kutelekezwa' ni kupotosha watu. Kila mtu ana uhuru wake wa kufanya anavyopenda na kuendesha gari lake kama kawaida bila drama. Koma kutafuta kiki na kuchafua jina la watu bila sababu!
Duh😂😂😂Hafu gari haina bima iyo
View attachment 3121212
Kwani lazima atumie dereva? Ni hivi vi-nchi vyetu vya kiafrika ndivyo viongozi wanataka ufahari wa kila kitu, nchi zilizoendelea viongozi wengi wanaendesha wenyewe.Wanabodi leò mida ya jioni wakazi wa jiji la Dodoma wamepigwa butwaa baada kumuona Spika Mstaafu Job Ndugai akiendesha gari mwenyewe.
Spika alionekana eneo la Makulu akiweka mafuta kituo cha mafuta GPB akìwa anaendesha mwenyewe
Watu wanauliza mbona mama Sitta amepewa dreva na gari la serikali na japo alikuwa tu mke wa spika, iweje Spika Ndugai atelekezwe hivi? CCM rekebisheni hilo.
Soma Pia: Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni
Akae kwa kutulia au siyo😂Huyo hana jipya hata akiendesha punda ni sawa tu.
Aliona nafasi yake ya uspika ni muhimu kuliko mijadala muhimu yenye manufaa kwa wananchi wote.
Alikuwa chawa tu.
yes hili ndio jibu sahihi. Kila mbunge analipwa fedha za wasaidizi 3,dereva, msaidizi na mhudumu wa ofisi. Ukimuona mbunge yoyote anajiendesha ni anapenda mwenyewe kwa mazoezi.Labda ni uamizi wake mwenyewe
Nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa siwezi kutofautisha mimea ya uleI na mpungaWanabodi leò mida ya jioni wakazi wa jiji la Dodoma wamepigwa butwaa baada kumuona Spika Mstaafu Job Ndugai akiendesha gari mwenyewe.
Spika alionekana eneo la Makulu akiweka mafuta kituo cha mafuta GPB akìwa anaendesha mwenyewe
Watu wanauliza mbona mama Sitta amepewa dreva na gari la serikali na japo alikuwa tu mke wa spika, iweje Spika Ndugai atelekezwe hivi? CCM rekebisheni hilo.
Soma Pia: Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni
Ukiona hivyo ujue anataka kwenda kwa mchepuko hivyo hataki shobo ya dereva. Umalaya unamsumbua.Wanabodi leò mida ya jioni wakazi wa jiji la Dodoma wamepigwa butwaa baada kumuona Spika Mstaafu Job Ndugai akiendesha gari mwenyewe.