Spika mstaafu Job Ndugai hana gari na dereva wa Serikali?

Spika mstaafu Job Ndugai hana gari na dereva wa Serikali?

Hafu gari haina bima iyo
IMG_0392.png
 
Wanabodi leò mida ya jioni wakazi wa jiji la Dodoma wamepigwa butwaa baada kumuona Spika Mstaafu Job Ndugai akiendesha gari mwenyewe.

Spika alionekana eneo la Makulu akiweka mafuta kituo cha mafuta GPB akìwa anaendesha mwenyewe gari prado T900 CQP.

Watu wanauliza mbona mama Sitta amepewa dreva na gari la serikali na japo alikuwa tu mke wa spika, iweje Spika Ndugai atelekezwe hivi? CCM rekebisheni hilo.
Kawaida sana hiyo 😄
 
Punguzeni ushamba jmn, cha ajabu kipi yeye kuendesha gari yake binafsi?
 
Kwa akili yako ya kawaida mtu kama ndugai ambaye kawa spika muda mrefu na anayemiliki vituo vya kuuzia mafuta kama kumi nchi nzima, posho kibao, anaweza kukosa magari aina ya v8 , ? Hapo kaamua kuendesha mwenyewe, jishangae wewe usimshangae tajiri kama ndugai
Tatzo huna shule dogo. Hatuongelei utajiri tunaongelea protocal hv mtu aliyekua kiongoz wa mhimili wa pili nchini awamu 2 leo hana hata dreva wa kumuendesha kwani mh kikwete hajui kuèndesha gari?au hana nyumba lkn mbona jiwe aliwajengea mahekalu yeye na mwinyi kwan hawana uwezo wa kujenga?au hawakua na nyumba?sisi tunadiscuss why waliokua same position wanatritiwa hv afu yeye hv kwanini kuna ubaguzi?tunajua spika ana ukwasi wa kutosha nani asiyejua utitiri wa majumba na ma appartment aliyonayo ila ni hadhi yake aliyokua nayo leo anaendesha mwenyewe gari kama vile hajashika madaraka makubwa nchi hii leo ka mwenyekiti tu ka uvccm kamepewa dreva na wapambe vp kuhusu spika?hatuangalii utajiri wake tunaangalia position na hadhi yake haviendani
 
Akawaulize kanisani na salasala michango anayotoaga ya milioni 100 kila wakati, au aende mbezi beach na hiyo hiyo Dom na arusha aangalie apartments na kampuni za utalii za ndugai ndio aje kushangaa hapa , watu bana , hapo tu anawapoteza maboya muone ana shida wakati hata vizazi vyake 50 mbele hawatoteseka
Mjinga ww
 
Watu wanauliza mbona mama Sitta amepewa dreva na gari la serikali na japo alikuwa tu mke wa spika, iweje Spika Ndugai atelekezwe hivi? CCM rekebisheni hilo.

Wanabodi leò mida ya jioni wakazi wa jiji la Dodoma wamepigwa butwaa baada kumuona Spika Mstaafu Job Ndugai akiendesha gari mwenyewe.

Spika alionekana eneo la Makulu akiweka mafuta kituo cha mafuta GPB akìwa anaendesha mwenyewe gari prado T900 CQP.

Watu wanauliza mbona mama Sitta amepewa dreva na gari la serikali na japo alikuwa tu mke wa spika, iweje Spika Ndugai atelekezwe hivi? CCM rekebisheni hilo.

Soma Pia: Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni
Kapicha
 
Kwa Mujibu wa Sheria za Tanzania, Wale Wakuu wa mihimili mitatu ya Serikali Kwa maana ya Rais, Spika wa Bunge la Jamhuri na Jaji Mkuu wa Tanzania wananufaika vitu vingi ikiwemo;
~Ulinzi
~Magari ya kutembelea
~Nyumba yenye hadhi yake
~Matibabu bure
~Pasi ya Kusafiria yenye hadhi ya VIP
~Mshahara wa asilimia 80 ya Kiongozi wa nafasi yako aliyeko madarakani
~n.k

Kwahiyo huyo Mheshimiwa Spika Mstaafu ana haki ya kupewa hizo huduma Kwa mujibu wa Sheria
Umemsahau Cdf ama ulikuwa hujui?
 
Back
Top Bottom