Nsoji go Nvaa
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 999
- 1,948
Anajiandaa kuchukua form ya kugombea 2025Wanabodi leò mida ya jioni wakazi wa jiji la dodoma wamepigwa butwaa baada kumuona mh spika mstaafu akiendesha gari mwenyewe mh spka alionekana eneo la makulu akiweka mafuta kituo cha mafuta GPB makulu akìwa akiendesha mwenyewe gari prado T900 CQP .watu wanauliza mbona mama Sitta amepewa dreva na gari la serikali na japo alikuwa tu mke wa spika iweje mh ndugai atelekezwe hv? Ccm rekebisheni hio
Namshangaaa huyoKwa akili yako ya kawaida mtu kama ndugai ambaye kawa spika muda mrefu na anayemiliki vituo vya kuuzia mafuta kama kumi nchi nzima, posho kibao, anaweza kukosa magari aina ya v8 , ? Hapo kaamua kuendesha mwenyewe, jishangae wewe usimshangae tajiri kama ndugai
Akili Huwa zinawarudia na kujuta wakiwa nje ya mfumoHuyo hana jipya hata akiendesha punda ni sawa tu.
Aliona nafasi yake ya uspika ni muhimu kuliko mijadala muhimu yenye manufaa kwa wananchi wote.
Alikuwa chawa tu.
Wanabodi leò mida ya jioni wakazi wa jiji la Dodoma wamepigwa butwaa baada kumuona Spika Mstaafu Job Ndugai akiendesha gari mwenyewe.
Spika alionekana eneo la Makulu akiweka mafuta kituo cha mafuta GPB akìwa anaendesha mwenyewe gari prado T900 CQP.
Watu wanauliza mbona mama Sitta amepewa dreva na gari la serikali na japo alikuwa tu mke wa spika, iweje Spika Ndugai atelekezwe hivi? CCM rekebisheni hilo.
Akawaulize kanisani na salasala michango anayotoaga ya milioni 100 kila wakati, au aende mbezi beach na hiyo hiyo Dom na arusha aangalie apartments na kampuni za utalii za ndugai ndio aje kushangaa hapa , watu bana , hapo tu anawapoteza maboya muone ana shida wakati hata vizazi vyake 50 mbele hawatotesekaNamshangaaa huyo
Ova
Ana pesa sana hilo halina ubishiAkawaulize kanisani na salasala michango anayotoaga ya milioni 100 kila wakati, au aende mbezi beach na hiyo hiyo Dom na arusha aangalie apartments na kampuni za utalii za ndugai ndio aje kushangaa hapa , watu bana , hapo tu anawapoteza maboya muone ana shida wakati hata vizazi vyake 50 mbele hawatoteseka