Spika na wabunge warejea kutoka Misri wataka kocha wa Taifa stars mh Amunike ni dalali atimuliwe mara moja

Mkuu mbona wabunge wa chadema wapo wengi yi wameenda?
 
Vyama havina maendeleo
 
Wa TZ!!! hasa politikishiani, na hasa kutoka chama kubwa you have lost, nyamazeni tu, no comments no whatsoever/ wakati tuanafaulu kuingia AFCON2019 you were there na mlishangilia Amunike na kuitwa timu ikawa ya makada wa lichama likubwa, leo tumepigwa mbili na SENEGAL li timu likubwa mnakuja na manaeno ya kuchefua. GOD FORBID!!, what did you do kuiandaa timu!?!, ni porojo gani mlipiga huko mjengoni angalau kusaodia soak la nchi hii?!?, mmepigania katika bajeti zitengwe TZS ngapi kwa ajili ya soka letu?!?. acheni unafiki kabla ya kuhukumu wengine mjitathmini what have you done?!?. ifikirieni tu hata ligi kuu yetu maana ndio msingi wa kupata timu ya taifa iliyo bora haina mdhamini anayeweza kufoot cost zote what have you done about that?!?. TUACHENI TULIE WENYEWE!! msitukumbushe mbali
 
Ndugai anafanya nini bungeni? Tanzania tuna Bunge? Mbona hajatimuliwa? he is just a stooge of a president! Afadhali tumefungwa 2, yeye bunge is absolutely stupid so called bunge!
 
Nina imani Taifa stars sasa watapumua na Kenya tutamfunga!
Mliteka timu ya Taifa na kuifanya timu ya chama, Leo mnakuja na bla bla nyingi, porojo za kitoto..? Rudisheni timu ya Taifa kwa Watanzania na mkiri mmepotoka. Acheni tabia ya kujikweza kwa mafanikio msiyochangia na kubinafisisha vitu vya kitaifa kuwa vya chama chenu.
 
HII INANIKUMBUSHA UMISETA KATIKA SHULE MOJA HIVI YA SERIKALI MWALIMU AKAMCHEZESHA DOGO MMOJA KIKOSINI BILA KUJUA KUWA ALIKUWA TANGU ASUBUHI HAJALA CHOCHOTE TANGU ALIPOTOKA NYUMBANI ASUBUHI. JAPO DOGO ALIKUWA NA MOYO SANA WA KUJITUMA KUICHEZEA SHULE YAKE NA UKIZINGATIA HATA CHAKULA CHA MCHANA WAZAZI WAMESHINDWA KUMLIPIA SHULENI. ILE SIKU ALIZIMIA UWANJANI AKAENDA KUZINDUKIA HOSPITALINI KESHO YAKE.
 
kipimo kizuri cha Taifa Stars ni mechi yao na Kenya, ndio tutapata picha halisi ya ubora wao, kuwapima na senegal ni kuwaonea tu
 
Tz kila mtu kochaa....
Huyu spika nae ubongo wake unaoza taratibu...
Tusimlaumu
 
Kwa kosa lipi? Kwanza wangetafakari Burundi ni ka nchi kanakozidiwa ukubwa hata na mkoa mmoja tu wa Tz Leo wana timu bora kuliko Tz yenye population Ya watu milioni hamsini!
 
Ujinga wa kiwango cha juu...wameshakula perdiem wameshiba sasa wanannii! Kwa mtu wmenye akili timamu alitarajia Timu yetu ifanye nini kule Misri ! Kutegemea miujiza katika soka ni kumkosea MUNGU! Mungu ametupa Talanta sisi tumezifukia then unataka uwafunge Snegal!
Kwa maandalizi yapi,Mpira ni kufanya uwekezaji tena wa muda mrefu! Kwa viwango vya Vilabu ndio unaweza kuweka malengo ya miaka 2,na ukaweza kununua wachezaji bora ...kama alichofanya MO kwa Simba .Kinyume cha hapo ni unafiki na uzandiki.
Mimi sina uhakika kama Amunike ni kocha aua la ...ila ninachojua ni kuwa kiwango chetu ni kidogo mno kwa kuwa menejimenti (Kama ilivyo kwa mamabo mengine yote) ya soka ni mbovu.
Hawa Wabunge watulie tu ,,hizo ndio akili zetu
zinawakilishwa na wao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…